Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Kibaka wewe. Na utakuja kufa mdomo wazi.kama ya watu wengine tu, yaani december njooni tena tutakua tushawajengea miundo mbinu ingine muharibu
Kibaka wewe. Na utakuja kufa mdomo wazi.kama ya watu wengine tu, yaani december njooni tena tutakua tushawajengea miundo mbinu ingine muharibu
kodi zako zimechangia nn pale shishi food?Umjengee nani we fukara Kodi zetu ndio zinajenga hiyo miundombinu
ushawahi kuona mtu anaependa maendeleo ya watu wengine akafa mdomo wazi?Kibaka wewe. Na utakuja kufa mdomo wazi.
mpotezee huyo ni choko mdudu anamuwasha matyakoniSawa.
Hivi unajisikiaje? Una roho ya namna gani wewe?
Nyie pambaneni nao tu, nyanya moja si ilifikia elfumoja haya kama mtarudia huo ujinga sijui 9/dec baada ya hapo nyanya moja mtainunua elftano wajinga nyie.Watafutaji Gani nyie ni punda hamna mtafutaji anayetaka kuendeshwa kama boya endelea kutafuta nakuhakikishia huwezi kupata unachokitafuta 100% fanya kazi abduli na mama yake Aishi vizuri sababu wewe ni msukile wake
sawa ni choko njooni mchome tena vitumpotezee huyo ni choko mdudu anamuwasha matyakoni
Wewe unapenda maendeleo ya nani? Ya Abduli?? Hata kama sijawahi kumuona shetani najua ni weweushawahi kuona mtu anaependa maendeleo ya watu wengine akafa mdomo wazi?
Naliapa 1500 kupitia umemesacrifise ipi na kodi hamtaki kulipa?
mitaa mingi watu wanafanya kazi wanapata mapato yaoMitaa gani hiyo mkuu?
Ndio maana nikasema wewe ni msukule huyo abduli na mama yake hawawezi kukanyaga ikulu ya dar hata siku moja kuanzia tarehe 29 mpaka Leo halafu nishakuambia wewe ni punda tu wa kupelekeshwa hamna mtafutaji anaekubali kupelekeshwa kama punda eti jasho limtoke halafu wafaidi wengine we ni punda tu muase mama Yako kuhusu kuandamana sio sisi na tunachokoza ugomvi makusudi Ili muje mlengwe nyie wakutiki huko nyumbani kazi mnayo hii nchi haitotulia mpaka wakutiki muisheAbdul na mama yake wapo ikulu daresalam sie wa huku kahama maandamano ya kazi gani? Nendeni ikulu mkapambane naye sie mtuache tuendelee na utafutaji, maandamano yenu ya kipuuzi yalituletea mdororo wa kiuchumi tena tunawaasa msirudie ujinga huo wa kuandamana.
Ana safurampotezee huyo ni choko mdudu anamuwasha matyakoni
we kama sio mchawi basi unakaribia, wewe mama yako angekua raisi ungepanda boda?Wewe unapenda maendeleo ya nani? Ya Abduli?? Hata kama sijawahi kumuona shetani najua ni wewe
Kahama nzima tupo shwari na wilaya jirani zoteMitaa gani hiyo mkuu?
Hata ifike laki Moja sisi hatujali kikubwa na machawa mkipate Cha mtema Kuni na uzuri risasi haziangalii huyu chawa au huyu muandamanaji sheikh sharif majini kalambwa ya kichwa alikua nyumbani kwake na ni chawa mtiifu 🤣🤣🤣🤣Nyie pambaneni nao tu, nyanya moja si ilifikia elfumoja haya kama mtarudia huo ujinga sijui 9/dec baada ya hapo nyanya moja mtainunua elftano wajinga nyie.
Acha mikwala mbuzi wewe. Unamtisha nani?.Abdul na mama yake wapo ikulu daresalam sie wa huku kahama maandamano ya kazi gani? Nendeni ikulu mkapambane naye sie mtuache tuendelee na utafutaji, maandamano yenu ya kipuuzi yalituletea mdororo wa kiuchumi tena tunawaasa msirudie ujinga huo wa kuandamana.
izo nazo utahesabu ni kodi, mtu anaelipa kodi ana tax statement yake mwaka huu biashara zangu zmelipa kodi kiasi flanNaliapa 1500 kupitia umeme
Nmekubaliana na kodi zote alizobambikiwa mlagi
Nmekubali gharama za mawasiliano ziongezeke bila tabu
Au n kodi zipi izo ambazo unazisema ww mtanganyika hazilip
Alafu unaweza kuta hata genge huna , ila proganda kama zotelaiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
ya kichwaAna safura
ningekua sina biashara nisingeelewa uchungu wanaopitia wafanya biashara mpaka nawatetea najua mwanzo mwisho maisha wanapitiaAlafu unaweza kuta hata genge huna , ila proganda kama zote
Hulipi Kodi wewe ungekua unalipa Kodi usingekua lijinga kutetea watu ambao wanakaa kutega Kodi za watanzania wazileizo nazo utahesabu ni kodi, mtu anaelipa kodi ana tax statement yake mwaka huu biashara zangu zmelipa kodi kiasi flan