Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,435
- 34,140
- Thread starter
- #121
Kweli utanzania siyo Rangi!Uzuri mtanzania hata kwa kutembea anajulikana
Hata amerika raia makanjanja ni wengi
Hapa sio rangi it's about reality
Kweli utanzania siyo Rangi!Uzuri mtanzania hata kwa kutembea anajulikana
Hata amerika raia makanjanja ni wengi
Hapa sio rangi it's about reality
Major General Warden marehemu kwa sasa, Said el Maamry ni mstaafu polisi, Hilal Hemed, Hans Pope na wengineo wengi tuSwali ulidhakutana na mwanajeshi,polis au mgambo chotara,
Ushawahi kumsikia Brigedia Jenerali John Walden aka Black Mamba?Swali ulidhakutana na mwanajeshi,polis au mgambo chotara,
Kabisa! Si mwoga na anawasilisha maoni yake bila woga.Kwangu mimi mtanzania pekee ambaye hana ngozi nyeusi ni Mabala wa Mabalaa mwandishi wa Raiamwema. Huyu ni mtanzania kwa lugha, harakati na uzalendo wake. Sio mniletee mhindi wa maghorofa ya posta mpya ambaye hata Kiswahili hajui mniambie ni mtanzania.
Richard Mabala:
Mkuu. Simfahamu hata Mtanzania mmoja aliokataa kuchukua uraia wa nje. Wazawa wote ninaowafahamu ndani na nje ya nchi wana uraia wa nchi nyingine.Asante kwa kuongezea, twasubiri mambo ya Dual Nationality sasa, tuirudishe ile brain iliyotekwa nje..
Umenikumbusha tukio nililohadithia linalohusiana ukoo wa Abdulrasul [kwa watu wa tanga watauelewa] ambapo atuhumiwa kuwa yeye siyo mtanzania. Aliweza kuthibitisha kuwa siyo kwamba yeye ni mtanzania lakini hata baba wa babu yake ambaye alizaliwa tanga[wajerumani walikuwa wanaweka kumbukumbu za vizazi na vifo hasa mijini] na siyo hivyo tu maisha yao yalianzia bagamoyo ambapo babu ya babu yake alijenga msikiti ambao hadi kipindi hicho mabaki ya msikiti yalikuwepo na jina la aliyejenga lilikuwepo.Kuna dhana inazidi kujengwa na kubebewa bango kwamba watanzania ni wale tu wenye ngozi nyeusi peke yake na wale wenye ngozi nyeupe kama Wazungu, Waarabu na wahindi si watanzania. Inaonekana kwamba hawa "wana kwao" mara kadhaa inasemwa kwamba warudi kwao.
Kwa watu waliowahi kuishi maeneo ya mipakani mwa nchi yetu wanajua kwamba tunao "watanzania" ambao kiuhalisia si watanzania bali ni watu wanaotoka kwenye nchi jirani tulizopakana nazo. Lakini hao hawabaguliwi kama vile wanavyobaguliwa hawa wenye ngozi nyeupe.
Dhana ya kubagua ni hali inayotokana na watu dhaifu kwa kila kitu. Ni kweli kuna baadhi ambao ni wabaguzi toka kwa Wazungu, waarabu na wahindi lakini si halali kusema wote ni wabaguzi. Hata wasio wahindi wapo watu ambao tunawajua kwamba ni wabaguzi ama wa kidini au kikabila ama kikanda.
Kama tunao wamakonde toka Msumbiji na tunawaona ndugu zetu ni kwa nini watu ambao wapo hapa tangu miaka ya 1920 tunawaona si wenzetu? Kuna makabila hapa tanzania ni miaka ya hivi karibuni ndiyo walianza kuolewa na makabila mengine na bado tunawaona ni watanzania wenzetu, tatizo nini kwa hawa wengine?
What is your pointKuna dhana inazidi kujengwa na kubebewa bango kwamba watanzania ni wale tu wenye ngozi nyeusi peke yake na wale wenye ngozi nyeupe kama Wazungu, Waarabu na wahindi si watanzania. Inaonekana kwamba hawa "wana kwao" mara kadhaa inasemwa kwamba warudi kwao.
Kwa watu waliowahi kuishi maeneo ya mipakani mwa nchi yetu wanajua kwamba tunao "watanzania" ambao kiuhalisia si watanzania bali ni watu wanaotoka kwenye nchi jirani tulizopakana nazo. Lakini hao hawabaguliwi kama vile wanavyobaguliwa hawa wenye ngozi nyeupe.
Dhana ya kubagua ni hali inayotokana na watu dhaifu kwa kila kitu. Ni kweli kuna baadhi ambao ni wabaguzi toka kwa Wazungu, waarabu na wahindi lakini si halali kusema wote ni wabaguzi. Hata wasio wahindi wapo watu ambao tunawajua kwamba ni wabaguzi ama wa kidini au kikabila ama kikanda.
Kama tunao wamakonde toka Msumbiji na tunawaona ndugu zetu ni kwa nini watu ambao wapo hapa tangu miaka ya 1920 tunawaona si wenzetu? Kuna makabila hapa tanzania ni miaka ya hivi karibuni ndiyo walianza kuolewa na makabila mengine na bado tunawaona ni watanzania wenzetu, tatizo nini kwa hawa wengine?
Pointi yangu kuwa kuna wananchi wengine ambao wana asili ya nje ya tanzania ni watanzania zaidi ya wengi wetu ambao hatuwezi kuthibitisha ukaazi wetu wa nchi kwa kipindi cha miaka hata 80 na bado tunajiita wazalendo kwa kigezo cha uafrikaWhat is your point
Mhh..Strong words, anyway acha tuone kama tutafika hii safari mpya..Mkuu. Simfahamu hata Mtanzania mmoja aliokataa kuchukua uraia wa nje. Wazawa wote ninaowafahamu ndani na nje ya nchi wana uraia wa nchi nyingine. Hata viongozi wa juu na watoto wao wengi tu wana uraia mwingine. Watu wanaangalia maisha kujitoboa siyo mambo ya uzalendo. Huwezi kuwa mzalendo ukiwa na njaa nje. Hizo sheria hazisumbui zaidi ya kutozwa viza kuja nyumbani. Hata wakibadili, sioni mabadiliko katika uchumi unaoendeshwa na serikali ya kibabe isiyoheshimu sheria.
Alishawahi kuwepo mkuu wa polisi kikosi cha usalama wa barabarani alikuwa anaitwa divas alikuwa goa....pia mkumbuke yule mwanajeshi maarufu Kwa jina la black mamba pia,Swali ulidhakutana na mwanajeshi,polis au mgambo chotara,
Kuna mwananchi wa Tanzania na Raia wa tanzania lazma uelewe hili sio kila Raia wa Tanzania ni mwananchi wa Tanzania but wananchi wa Tanzania wote ni Raia wa Tanzania....Kama hujaelewa sema nirudie.Ndugu yangu unajua hata HARBINDER SINGH SETH wa IPTL ni MHEHE wa IRINGA na ana Documents zote za URAIA ila usishangae maisha yake na familia yake yako AFRIKA KUSINI. Pesa anazochuma HATUNZII hapa
- Akili kichwani, Tanzania Shamba La MAVUNO.
MIMI mwenywe usione najiita mrangi lkn kiukweli mm syo ukabila la mrangi ila ukiniona physical utashangaa ila ndy hvyo,baba wa mababa zetu inasemekana walitokeaga hko ugiriki walikujaga kwenye kilimo cha mkongePona kuna yule alikuwa askari Polisi akiitwa David Divaz!
Hata yule Hakim aliyemhukumu lijuakali Si chotara ila anajiita msukuma na lugha anaielewa vyemaNi mhindi!
Umezaliwa lini maana walikuwepo akina Major General John Walden, RPC Hans Pope na wengine wengi wa vyeo vya chini!Swali ulidhakutana na mwanajeshi,polis au mgambo chotara,
I never hide behind the bush. I'm a straight talker.Mhh..Strong words, anyway acha tuone kama tutafika hii safari mpya..
As it should be, your contribution is noted in this thread, keeping preaching kaka..I never hide behind the bush. I'm a straight talker. No hard feelings.