Kuna wazungu, Waarabu, na wahindi ambao ni Watanzania

Suala la ubaguzi limesemwa sana miaka ya nyuma ila pia hizo jamii ukifatilia utangundua wamejikitika katika biashara na mambo mengine zaidi, hasa ukizingatia miaka ya themanini mwanzoni na kuendelea Jeshi hali ilikuwa mbaya. Hivyo kumpeleka mtoto wako jeshini au yeye mwenyewe kuchagua jeshi ilikuwa ngumu kwani maisha yalikuwa yamebadilika na dunia kwa ujumla.
 
Mfano rostam Aziz alikuwa mnyamwezi kabisa ndio maana wanyamwezi walikuwa hawaoni umuhimu wa kuwachagua vijana wao kwenda bungeni ila huyu kanjanja na mnyamwezi asili kabisa
The same to mp wa jimbo la solwa mwarabu ahmed salim ahmed shnyng vijijini yule ni msukuma kabisa kazaliwa huko kasomea salawe p/s na kisukuma humteti kbsa
 
Thread kama hii ilikwisha tokea hapa JF, kuhusu wanajeshi USA wenye asili ya Kitanzania, ikajulikana kumbe wapo wengi tu, mpaka NASA..
Navyoelewa mimi, Mtanzania ni yule aliyezaliwa hapa TZ, na akaenda mbali zaidi kwa kupata vitambulisho, sasa ukizaliwa hapa na wachina, wajapan, Wahindi, Wazungu, sijui nani hiyo juu yako, ila swali litakuja katika uraia wa wazazi, mimi sijali Mtanzania ana rangi gani, swala ni wao pia kujichanganya basi...
Sio lazima uzaliwe Tanzania kuwa Mtanzania. Unaweza kuja kama raia wa nchi nyingine na kupewa uraia wa Tanzania kama mzazi wako ni Mtanzania, umefanya ndoa na Mtanzania, au umeomba ukimbizi Tanzania. Wengine wamekuja kabla ya uhuru na kuamua kuchukua uraia wa Tanzania huru.

Kwa vyovyote uraia ni biashara kubwa duniani. Ukiwa na fedha na elimu bora, unaweza kupewa uraia wa nchi nyingi tu nje ya Afrika.
 
Wapo wengi wangetamani kujiunga na jeshi ama la polisi au Jwtz, lakini wanaanza kuekewa mguu mapema wanapigwa mchujo, ccm wanaogopa wanasema hawa sio wenzao, kwa hio nao wamejiona hawahitajiki sasa wanajitafutia shughuli nyengine za kimaendeleo sasa sijui hizi kelele za nn wakati ni CCM System ndio imeanza huo ubaguzi.
 
Swali ulidhakutana na mwanajeshi,polis au mgambo chotara,
Nenda katika historia ya vita ya kagera muangalie black mamba.Meja jeneral walden alikuw na balaa si kitoto ni chotara wa kizungu na alikuwa meja jenerali wa jwtz alikuwa na uwezo wa kukaa ktk maji ya mto kagera karibu masaa 6 amezama 2.
 
Wahindi wana passports zaidi ya moja. Pia wao pesa yao yote iko nje na wakati wa uchaguzi wao huwa wanakimbia nchi hii. Sasa kama ni wenzetu kwa nini wafanye hayo?
Hawajasahau manyanyaso ya sajili jumba na NHC, huo ndio uoga wao.
 
Mmi simuungi mkono kabisa mtoa mada haya majamaa hayawez kua mazelendo wakat yanapajua kwao sis december tunaenda moshi kula mtori yenyewe yanaenda omani kula ngamia na ndio maana kaz za kizalendo huyakuti kama ualimu tandahimba au mgambo wa jiji most of them wanataka uraia wetu ili tu wasiwe foreign investors wachume wasepe na mengine yanajinasibu ni matanzania ila yanashule zao kujifunza mila na desturi zao tu na sio za hapa unakuta mtoto kazaliwa hapa ila kiswahili hajui hawachez michezo yetu wanacheza tu kriket ata kwa timu ya taifa hatuwaoni ila kwenye maslah yao tu japo sio wote wako hivo ila most of them ndio walivo na hawatukuli kabisa
Kazi zakizalendo au kazi zakimaskini? Huko Oman na Dubai mwalimu analipwa sawa na 6m zakitanzania, huku ni laki 3, walimu wanasaga lami. Usitake watu wafanye kazi zakisenge alafu uite uzalendo.

Nitajie mtoto wa waziri yoyote tanzania ambaye ni mwalimu, mtoto wa rais aliyeko primary anakamata chaki. Hakuna kwani wanajua ni kazi zakimasikini na mishahara ni pesa yakupigia kiwi.

Hao wahindi na waarabu wanasoma biashara akimaliza anaenda kusimamia maduka na kampuni. Wachaga na wahaya wanafoji vyeti ili mradi wafanye kazi tra, bandari na bot, why? Ndio kwenye mshiko na sio kwenye ualimu.
 
TPDF alikuwa Na wahindi Na wazungu hadi 1995. Mhindi wa mwisho kustahafu jeshi. Na muhindi alipigana vita vya Kagera.
Mfano mzuri wa watu wenye Asili ya waberigiji ni huyu Zacharia Hans Pope wa Simba alikuwa Jwtz.
Na alifungwa maisha baada ya kutaka kuangusha nchi na wenzake.
 
Ndugu yangu unajua hata HARBINDER SINGH SETH wa IPTL ni MHEHE wa IRINGA na ana Documents zote za URAIA ila usishangae maisha yake na familia yake yako AFRIKA KUSINI. Pesa anazochuma HATUNZII hapa

- Akili kichwani, Tanzania Shamba La MAVUNO.
Hata hao mnaowaita weusi watanzania wa rangi mbona pia wanaongoza kwa kutunzia uswisi
 
Hata hao mnaowaita weusi watanzania wa rangi mbona pia wanaongoza kwa kutunzia uswisi
Kwani mimi nimeonesha rangi kwenye andiko langu mkuu?.

- Hata Masha, Nyalandu, Cheyo, Chenge nk siyo watanzania. Wako hapa nchini kwasababu ndipo wanapovuna, wasingekuwa na shamba hapa wangekuwa kwenye majumba yao huko ughaibuni wanakosoma watoto wao
 
Sio lazima uzaliwe Tanzania kuwa Mtanzania. Unaweza kuja kama raia wa nchi nyingine na kupewa uraia wa Tanzania kama mzazi wako ni Mtanzania, umefanya ndoa na Mtanzania, au umeomba ukimbizi Tanzania. Wengine wamekuja kabla ya uhuru na kuamua kuchukua uraia wa Tanzania huru. Kwa vyovyote uraia ni biashara kubwa duniani. Ukiwa na fedha na elimu bora, unaweza kupewa uraia wa nchi nyingi tu nje ya Afrika.
Asante kwa kuongezea, twasubiri mambo ya Dual Nationality sasa, tuirudishe ile brain iliyotekwa nje..
 
Mfano mzuri wa watu wenye Asili ya waberigiji ni huyu Zacharia Hans Pope wa Simba alikuwa Jwtz.
Na alifungwa maisha baada ya kutaka kuangusha nchi na wenzake.
Si kweli.mzee Hans Pope alikua Mkuu wa polisi maeneo ya Kagera,aliuwawa Na wanajeshi wa Amin Na kuonyeshwa Kampala nzima kua ni mchina aliyekodiwa Na Nyerere kupigana Na Uganda.aliwekwa mochwari kwa miaka 7.Alikua Na baba wa kijerumani mama wa Tanganyika.na Zacharia Hans Pope ni mwanae.
 
Uzuri mtanzania hata kwa kutembea anajulikana

Hata amerika raia makanjanja ni wengi

Hapa sio rangi it's about reality
 
Back
Top Bottom