Kijana kwanini autumii unlimited bandoweka picha hata ya screenshot ujue MB246 ni jero
🤣🤣🤣Na amesema twende naye taratibu Kila mtu atapata nafasi🤭Huyu mzee itakua tayari anayo list yake anajua akitoka huyu anafata huyu
Nisanue mkuu ndio nini hio 😀Kijana kwanini autumii unlimited bando
Raha ya kondoo mkia si unajua,
Oyaaa unlimited expensive saana.Kijana kwanini autumii unlimited bando
Nimemwambia hapo amtafute tu apate wokovu,.
Internet bila kikomo bei zake hizi hapaNisanue mkuu ndio nini hio 😀
Sijawahi kumuona ngoja nianze kupata elimu kutoka kwakeShalom Leejay, Shalom JF..
Huyu mazaa nimeona clip zake jana 2, kwa kibahati, sikuwa namjua kabla.. Nilibarikiwa kinamna yangu.
Visikupite mkuu ndugu yangu.
Certified Hater
Mkuu tatizo ni kulipia hio 70k, matumizi yangu hayafiki 5GB per month maana kuna free wifi pahala, nikishadownload vitu naweka MB za buku siku 3.Internet bila kikomo bei zake hizi hapa
Router za Airtel Vifurushi vya vipo hivi
1. 70K kwa mwezi, speed 10Mbps
2. 110K kwa mwezi, speed 30Mbps
3. 150K kwa mwézi, speed 50Mbps
4. 200K kwa mwezi, speed 100Mbps
Hizi za vodacom
View attachment 3313349
Na wengine wameulizwa eti kitendawiliVitoto vya mtandaoni vyote vipo smart hata yule aliyesema" mjomba ni mama ila hana manyonyo"
Shalom Baby Girl,.Shalom Leejay, Shalom JF..
Huyu mazaa nimeona clip zake jana 2, kwa kibahati, sikuwa namjua kabla.. Nilibarikiwa kinamna yangu.
Visikupite mkuu ndugu yangu.
Certified Hater
Yeaahh!Shalom Baby Girl,.
Kwakweli ningekua karibu nao huko ningekua nahudhuria ibada zake hata mara mojamoja,.
Hachoshi kumskiliza
Jitahidi umcheck.. unaweza pata ABCs za kuongezea kwenye kuwalea hao kina aunt na uncleas 😂Sijawahi kumuona ngoja nianze kupata elimu kutoka kwake
kaa nazo makini,
Kaka sio rahisi ,nitamtupia tu humu, kabinti kangu ndio mimi why kasijue humu ?Ukimuweka humu kuna maharamia hawakawiii kukuharibia mkuu