Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,941
- 15,665
mitihani ya kusafiri nchi nyingi ndo kitu gani mkuuView attachment 3313241
Ila hawa watoto jamani😍😍
mitihani ya kusafiri nchi nyingi ndo kitu gani mkuuView attachment 3313241
Ila hawa watoto jamani😍😍
Madam kumbe?Jitahidi umcheck.. unaweza pata ABCs za kuongezea kwenye kuwalea hao kina aunt na uncleas 😂
Nakazia aliposema Donatila ... Mlee mtoto katika njia impasayo ...... Sijui ni mithali ngapi. Naongezea wazazi sikuhizi mnalipa fees nyingi sana tena kwa furaha, watoto wajifunze violence na ushoga kupitia TV kwenye kitu kinaitwa Subscription za ving'amuzi.Shalom Leejay, Shalom JF..
Huyu mazaa nimeona clip zake jana 2, kwa kibahati, sikuwa namjua kabla.. Nilibarikiwa kinamna yangu.
Visikupite mkuu ndugu yangu.
Certified Hater
Haya makanisa haya hii clip nimeona Leo nilicheka mno 😂 😂Yeaahh!
Mamy you look very beautful..
Niliona clip tik tok.. nikaenda IG mpaka nikapata username yake.
Yuko vizuri mnoo..
😀😀 uhalisia siujui.. ila vinavutia bwanaHaya makanisa haya hii clip nimeona Leo nilicheka mno 😂 😂
KweliMadam kumbe?
Sihukumu vibaya Ila sasa the way alivyo na anavyoongea unajua am a man nafikiria tofauti afu anaonekna ni mashangazi wa haja sura imekaa, tabasamu zito, nyonyo la haja na inaonekana pia msambwanda wa haja anao maake lile nyonyo sio la wenye flat 😂Hizi ministry zimefanyaje mkuu😃
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Na wengine wameulizwa eti kitendawili
Nani afe kwanza baba au mama
Wote wamepiga kelele
babaaaa
Wakati alielipa kodi na kuwafanya wachambe ni baba 😄
Ni mithali ya 22, ule msari wa 6 unasemaaaNakazia aliposema Donatila ... Mlee mtoto katika njia impasayo ...... Sijui ni mithali ngapi .Naongezea wazazi sikuhizi mnalipa fees nyingi sana tena kwa furaha watoto wajifunze violence na ushoga kupitia TV kwenye kitu kinaitwa Subscription za ving'amuzi
. #Kale nilitembea
siwezi wasikiliza madogo hao mkuu, maandishi ya kwenye screenshot ndo yalinistuaView hiyo video jamani itamskia huyo mtoto akizungumza ☺
Kweli asee😂😂weka picha hata ya screenshot ujue MB246 ni jero
Ila nyie vijana moto wenu utakua mkali sana naona😃😃😆😆Sihukumu vibaya Ila sasa the way alivyo na anavyoongea unajua am a man nafikiria tofauti afu anaonekna ni mashangazi wa haja sura imekaa, tabasamu zito, nyonyo la haja na inaonekana pia msambwanda wa haja anao maake lile nyonyo sio la wenye flat 😂
Yani mno mkuu pia najivunia sana kabinti kangu .Kweli
Me nilipenda uwezo wa kujielezea wale watoto, kujiamini.. wanaongea vzuri, sio unakuta mtu anaongea kama anapayuka muda wote
😀😀 uhalisia siujui.. ila vinavutia bwana
Ulifurahia ulipoona? Ulipata mawazo yapi kwa uharaka?