min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,933
- 129,118
Kuna nini master?Napita kimya kimya kwenye huu uzi kama vile naaga maiti .
Dunia bwana ione hivi hivi na mambo yake😭
Kuna nini master?Napita kimya kimya kwenye huu uzi kama vile naaga maiti .
Dunia bwana ione hivi hivi na mambo yake😭
Unavyochelewa (kuficha uchi) ndivyo watakuja mazuzu.Bado sijabarikiwa kuwa nao mkuu,. I hope watakua smart na wakija
Naunga mguu hojaMkuu umeongea kama wote tunakijua unachoongelea.
Tulia uandike vizuri
Unavyochelewa (kuficha uchi) ndivyo watakuja mazuzu.Bado sijabarikiwa kuwa nao mkuu,. I hope watakua smart na wakija
Achana na Manara bhana...sasa hivi anapata mpasuko mwingine 🤭Usiamini sana mambo ya mtandaoni... Uliwaona Manara na Zaylisa...
Ka mimiKaone🤥😜😂
Ule uzi wa vocha si ulifungwa boss, ila nitafungua niangalie namna ya kulea hawa wanangu halafu sijakuambia una uncle mpya mjiniKa wewe hako,
Mb46 za kulalamika kweli jamani, sijapendaa🙁🙁
kuna vitoto haviongei vizuri havijachangamka ila vinahoji mambo kama mtu mzima...Kwakuona tu watoto wajinga wajinga wanajulikana
Access ya huku uturuki sikupati hewaniOooh wow🤩,. Hukuniambia jamani nilete diapers