Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Ni mithali ya 22, ule msari wa 6 unasemaaa
Unasemaaaa nini?
Umlee mtoto..
Umleee naniiiiii
Haahhaa, ushakutana nayo huko mtandaoni? Nilicheka hadi machozi.

Anyway: tutafute cheti cha kwendea Mbinguni ambacho hakitolewi Kanisani.
Unaleta michezo na neno .😁😁
 
Ila nyie vijana moto wenu utakua mkali sana naona😃😃😆😆
Hapana ndo maana ukiachilia mwanamke kuingia period haruhusiwi kufanya Ibada kadri ya biblia, na pale ilipo sema anaepaswa kusalisha ni me,

Huku ninyi mjifunike 😂😂 unafikiri kwann

Mtu anakuja kanisan off shoulder bado gauni fupi, unafikiri mm ntapata vipi attention ya kusikiliza Ibada?

Mm ni binadamu ni nashawishiwa so ni ngumu kuyashinda hayo 😂
 
Sawa sawa sawa😛😂
 
Honestly inavutia na kutia moyo Ila binafsi siwezi enda hapo labda nimwangalie tuu kama Leo basi, 😂 😂

Tatizo la ministry nyingi watu wanapangwa tofaut na uhalisia so inabidi uwe makini sana

Hata hao wanaosema mwamposa sijui ana upako, fatilia mostly ya watoa ushuhuda ni wamepangwa

Kingine tujifunze kujiombea wenyewe, kufunga, vyakula ni vitamu lkn tujinyime ili tupate wasaa wa kufikiria juu ya maombi, maono, na mafungo yetu, tutoe sadaka hasa charity, naamini Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake sio km mwanadamu,

Daudi akasema nilikuwa kijana na sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kuomba omba mikate barabarani, Tuende kwenye haki kwenye kila jambo na watu wote.
The Beauty of Psalm 🥰
Umeandika vzuri, nimesoma kwa moyo mweupee.. vya kuambiwa changanya na maarifa yako/ from Bible nk
 
The Beauty of Psalm 🥰
Umeandika vzuri, nimesoma kwa moyo mweupee.. vya kuambiwa changanya na maarifa yako/ from Bible nk
Thank you baby girl 😍😂

Jaribu tu kidogo, kidogo unaweza nachoweza kusema ni kuwa watu tukifungua akili na kujua kupiga goti basi kila kitu kitakuwa sawa, hata kwa kuchelewa kikubwa weka imani ya kuwa ninacho,

Kadri ya imani yako tuu unasali, kama upo dar Kuna Yale maombi ya pale Emaus ubungo nataka nihudhurie Yale, au nisali kwenye kuabudu ekaristi napenda sana iyo Ibada Leejay49
 
Umemaliza kila kitu🤝
 
Hapo ni kabla hawajajua ya dunia yapoje, wakishaonja tu kwishinehi babujii.

Pasaka nilihudhuria ibada ya usiku, moja ya vitu vilivyonivutia zaidi n watoto walivyoigiza na kuimba ila jirani yangu akaniambia hawa watoto wakikua tu sijui ni nini kinawaharibu hata mambo ya kikanisa hawataki kujihusisha nayo kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom