Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Watu wamesahau malezi ya watoto wao, TV, simu na mitandao, vinawasaidia kuwalea hovyo na kuharibikiwa. Bila kusahau wadada wa kazi, watoto wakitoka shule, mtu wa karibu ni dada wa kazi, sasa ukute naye kichwa kimepata moto, utajua hujui.

By the way Mama Mchungaji ana tacle la kwenda.🙌🙌🙌😜
 
Leejay49 shikamoo, hujambo?
Kwa faida ya members weka hata picha 🙂
20250419_205449.jpg

Kimkakati zaidi
 
Watu wamesahau malezi ya watoto wao, TV, simu na mitandao, vinawasaidia kuwalea hovyo na kuharibikiwa. Bila kusahau wadada wa kazi, watoto wakitoka shule, mtu wa karibu ni dada wa kazi, sasa ukute naye kichwa kimepata moto, utajua hujui.

By the way Mama Mchungaji ana tacle la kwenda.🙌🙌🙌😜
Mtani hapo mwisho niambie ni nini
 
Watu wamesahau malezi ya watoto wao, TV, simu na mitandao, vinawasaidia kuwalea hovyo na kuharibikiwa. Bila kusahau wadada wa kazi, watoto wakitoka shule, mtu wa karibu ni dada wa kazi, sasa ukute naye kichwa kimepata moto, utajua hujui.

By the way Mama Mchungaji ana tacle la kwenda.🙌🙌🙌😜
Yeah ni kweli,.

Mama body la mama mchungaji linaita waumini kuingia church kusali
 
Watu wamesahau malezi ya watoto wao, TV, simu na mitandao, vinawasaidia kuwalea hovyo na kuharibikiwa. Bila kusahau wadada wa kazi, watoto wakitoka shule, mtu wa karibu ni dada wa kazi, sasa ukute naye kichwa kimepata moto, utajua hujui.

By the way Mama Mchungaji ana tacle la kwenda.🙌🙌🙌😜
Anapatikana mtandao gani nimtembeleee nione yaliyomo yamo
 
Back
Top Bottom