Kuna watu wana hela jamani!!

Lakini usikute akakosa mbingu kwa sababu chanzo cha pesa ni "kichafu" mbele za Mungu.

Yaani kanuni ya kuingia mbinguni mpaka leo naona mauzauza
usipawaze mbinguni mkuu..ukipawazia utakutana na burungutu la hela SIKU njiani utaogopa kuokota...

Mbinguni hapana formula Mungu aliyetuleta hapa duniani anajua madhumuni yake kwetu..wewe ishi uonavyo ni sahihi kama Mungu atahitaji uingie mbinguni utaenda tuuu..ila ili u enjoy haya maisha mafupi Usiwaze huo upande kabisa,utakutoa kwenye ramani ya furaha.
 
Ila too bad ni kwamba hata hawapo jf,wala hawajui jf ni nini
 
Halafu unaambiwa et vyuma vimekaza ,
 
Hata mwenyewe ulivyosimulia nikahisi naangalia movie
 
Sasa hii chai mkuu.
 
Hata mwenyewe ulivyosimulia nikahisi naangalia movie
ha ha ha....ukimuona huyo dada alokua ananisimulia ukikutana nae njiani huwezi amini ni DADA wa kazi...alivyovaaaa Acha tu ni sketi zetu za heshima ila nguo ya pesa unaiona tu mzeee..pochi usiseme Hata rangi yake tu aaaah tunyamazeni tu.
 
Kabisa kuna watu wana hela hii dar, hawana taarifa za siasa kuhusu vyuma kukaza, ukiingia mbweni ,goba, mbez beach, masaki ,ndio mtu utajua watu wanaishi maisha kuliko hata wanaoishi USA
 
Kabisa kuna watu wana hela hii dar, hawana taarifa za siasa kuhusu vyuma kukaza, ukiingia mbweni ,goba, mbez beach, masaki ,ndio mtu utajua watu wanaishi maisha kuliko hata wanaoishi USA
Tanzania ina watu HATA BAKHRESA/mENGI/Mo wote hao wakasome tena waende tuition maana hawakuti hela za hao raia....Mi nahisigi hii ndio mijitu isiyojulikana Tunayoitafutaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…