Kuna watu wana hela jamani!!

Sawa tupo watu wa vipato tofauti levo tofauti
Lakini kama mlalahoi hiyo hela nkiifikiria nawaza sana..mil 54 si tayari nna nyumba mbezi now!
Inauma mkuu
Mkuu usisahau kuwa kuna kodi, kuna matengenezo, matumizi ya kawaida utakuta hizo laki 3 kiuhalisia yeye anapata faida kama 30,000 kwa siku. Wengi waliojenga hizi nyumba wana mikopo usiombe. Mfano mzuri wanatakiwa kulipa City Service Levy ambayo ni 0.3% yake. OSHA, fire etc
 
Aisee..but profit wanayo

Similar Discussions

Back
Top Bottom