Kuna watu hukera aisee

Kuna watu hukera aisee

Yaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.
 
Wewe ni bebi wangu mpaka kifo kitapotutenganisha....

Mi kwako ni mtamu kama wale kuku nawe kwangu ni mtamu kushinda sukari guru.

Dina Ngabu
Angalie vale atakufa na wivu,anataka awe peke ake tu,mi nishamuambia we huwezi niacha akabishaa cc Valentina
Ngabu Dina
 
Yaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.
Eeehee we ndio unajua yaan wewe ndio mimi sasa
 
Back
Top Bottom