Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,269
- 70,659
Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,
Hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mimi kuna muda huwa napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halafu unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana