Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Endelea nae kidogo nikimtaka ntakustua unirudishie tehUnataka nizeeke nae![]()
Endelea nae kidogo nikimtaka ntakustua unirudishie tehUnataka nizeeke nae![]()
Hana jeuri ya kukataa ndo nachompendea msukuma wangu yuleKwani kakataa kurudi mwenyewe
Mweeh sasa mie nina majaribu gani jamaniUsimtie jirani yako majaribuni![]()
![]()
![]()
Unataka nizeeke nae![]()
Ukinimiss si utarudi...?Wanakutaka wengii mno wewee nimeona niachie ngazi![]()
Kati ya nani na nani?Chagua mmoja hapa
Dah...kwani siwezi kuwa na wote?Kashingo na vale

Mmh bora nijiweke pembeni kuepusha msongamanoDah...kwani siwezi kuwa na wote?
Mi nawachagua wote na nna mpango wa kuongeza![]()
![]()
![]()
Hahahaaaa unajiengua sio?Mmh bora nijiweke pembeni kuepusha msongamano

Nyooo....Hahahaaaa unajiengua sio?
Basi poa...ngoja nibaki na hawa wengine![]()
![]()
![]()