SASA UKITAKA KUWAKOMOA, UKIWA UMEKAA WEKA BANGO MBELE YAKO LENYE MANENO " NIACHE, USINISEMESHE"Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,
Hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mimi kuna muda huwa napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halafu unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana
Hahahaaa my Muree...Ha haa si anaongea tu apa ila jeuri yake haina nguvu kiviiile
Ha haa huyo anakudanganya tu mwaya usimsikilizeSoma juu hapo na ulivyo na wivu sasa
Ha haa huyo anakudanganya tu mwaya usimsikilize
Muda ukifika atarudi tu bandani

Dawa yako naichemsha subiri tuWanakuita Muree...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
I love you baby.Dawa yako naichemsha subiri tu
Sasa we mwanamke ndo nini kubadili jinaYaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.

Yani naomba Ngabu wangu arudi salama kama alivokuja kwako... Nisimkute na skrach yoyote plsNamsikiliza yeyenimelamba utamu asali kamwe siachi
Nachukiaga sana huo ujingaMwingine anaanxa kukuulizia watu wengine wa kitambo.. sijui nani yuko wapi...?wanaboa sana
Hahaha...sasa labda hujakutana na wale wa magroup ya whatsapp.Kuna mtu nilisoma nae primary ee bana akaniomba namba ya simu nikampa,hee nikashangaa napigiwa na watu wengi mwishoni wanamalizia nimepewa na fulan namba yako
Nikaja onana nae nikamuuliza mbona uligawa namba yangu hivyo maana sio kila mtu mi nalikua karibu na mimi
Namsikiliza yeyenimelamba utamu asali kamwe siachi

My Muree...wala usijali.Yani naomba Ngabu wangu arudi salama kama alivokuja kwako... Nisimkute na skrach yoyote pls

Nina wivu ujue Nzagamba weweMy Muree...wala usijali.
Dina hafugi kucha.
Hataniparua asilani.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()