Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah.

Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani"

Ni umri ambao sio tena wa kujiuliza kuhusu ndoa, ni uwe umeshaamua kuwa hautaoa kabisa au tayari una mtu una engagement nae au umeshaoa.
 
Kwa Tanzania kijana wa 35yrs anakua bado hajajitambua, uko betting, wengine bado wako kwao, mambo ya soul wanachelewa sana mpaka 45yrs
 
Nilipotimiza miaka 35+ nikagundua kuwa nyeto inaokoa sana pesa na inanipa amani ya moyo, hivyo nikasema "hii nitaendelea nayo".

Nikiwa vijiweni na vijana wanaopambania masisha huwa nnawaambia, "Usipokuwa na pesa usimwelekee demu, bali ielekee nyeto".

Ni hayo tu Kwa Leo na nasanzuka 😎.
 
NGoja adriz aje na akaunti ya haszu kujifanya kukuhurumia eti anataka kukupa mzigo
 
Kati ya Mimi na wewe Nani anahitaji msaada
Ungekuwa utimamu zaidi yangu usingeendelea kuchat na chizi kama ulivyosema mwanzo.

So this proves u are retard
😁 kalale dogo, shemeji yako kazima taa za sebureni
 
Tawire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…