Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Siku hizi hakuna cha makabila magumu wala nini, kwenye pesa kabila gumu hugeuka kuwa laini kuliko pamba. Rejea Waitara.
Kuna watu wana kitu kinachoitwa integrity, wakihama mahali wanahama for solid reasons kama Dr. Slaa baada ya ile press conference ya Serena hukumsikia tena akiinanga Chadema, au Lawrence Masha, yeye aliandika na akatoa sababu CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

Lakini Waitara is not a person of integrity!, ni jitu la ovyo ovyo kama Mchungaji Msigwa alikuwa a person of high integrity alipokuwa Chadema, sasa huko CCM amekuwa ni mtu wa hovyo sana!, tena infact kuna wakati anakuwa kituķo kabisa kwa kujizima data!. Hawa wahamaji vituko tumewashauri Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Japo hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Heche akiamua kuachana na zege kokoto akaamua kula mbogamboga nitasikitika sana!.
P
 
painful truth with facts 🤣
 
Naunga mkono hoja mtu yeyote kuwa huru kuhamia chama chochote ndio maana tulitoa ushauri huu kwa Chadema Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? ila tukubali tukatae wanachama na viongozi hawafanani, kuna wengine ni nguzo na mtaji, hivyo wanategemewa sana, huku wengine ni magarasa tuu.

Magarasa wakihama, hakuna athari zozote lakini nguzo zikihama, zina athari kubwa.

Heche ni nguzo!, kwangu mimi huyu ndiye mtu wa kumpokea Mbowe Uenyekiti, hivyo taarifa za uzushi kama hizi, zinatishitusha!, haswa kwa kuzingatia John Heche ni kutoka kabila la watu wenye msimamo.

Tanzania tuna makabila mengi, kuna makabila walaini laini unawaswaga tuu kama ng'ombe na kuna makabila wagumu wenye misimamo.

Ukisikia mtu wa makabila laini laini amehama hushangai, ila Ukisikia mtu wa kabila gumu amehama chama, lazima ushangae.

John Heche namuaminia, mimi ni Tomaso hii habari siiamini kuwa ni ya kweli mpaka...
P
Tanzania hakuna kabila laini wala kabila gumu labda useme kabila fulani wana tabia za roho mbaya au roho za kuridhika.

Hata ugumu wa kabila unatokana na mtu na mtu vile roho mbaya au nzuri ni mtu na mtu Acha kudhalilisha watu kimaneno ya kukariri
 
sasa unakenua na kubababika na nini ikiwa hujaelewa chochote na sieleweki kwako gentleman?

mimi si muandishi, bali mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa, elimu, dini n.k na kwahivyo nisamehe sana kwenye eneo la uandishi mrefu..

pole sana 🐒
Kama wewe ndio Mwanadiplomasia halafu unaandika vitu kama hivi kweli hakuna kitu we ni mweupe sana huwa unafanya kazi kwa maelekezo maalum hauko huru 🙆🏿‍♂️
 
Kama wewe ndio Mwanadiplomasia halafu unaandika vitu kama hivi kweli hakuna kitu we ni mweupe sana huwa unafanya kazi kwa maelekezo maalum hauko huru 🙆🏿‍♂️
sasa wewe mweusi mbona unaishia mihemko na makasiriko tu, na huna mawazo mapya na wala fikra mbdala dhidi ya hoja mezani 🤣
 
Back
Top Bottom