City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,186
- 4,956
Hili linamuhusu Heche si hayati Lowasa.kwani Hayati E.G.Lowasa alivyo hamia chadema na akapewa nafasi pale juu kamati kuu, Uchaguzi ulikua bado haujaisha?🐒
Hili linamuhusu Heche si hayati Lowasa.kwani Hayati E.G.Lowasa alivyo hamia chadema na akapewa nafasi pale juu kamati kuu, Uchaguzi ulikua bado haujaisha?🐒
hebu muulize huyo muungwana kamanda ndugu yako kwamba,Hawa vibwengo hata aibu hawana kila mtu akilala na njaa akiota ndoto anaigeuza kuwa habari.
Kwenye ile ya EL kujIengua CCM, umenikumbusha mbali!, ni akina sisi tulimshinikiza Elections 2015 - Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini? ila pia wengine tulijua kabla Elections 2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! na baada ya mwamba kuteuliwa, tukashauri Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe! tukawaandaa watu kisaikolojia Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni..., Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!. tukamhakikishia ushindi Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu tukamuombea kura na kweli akashinda Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua tukalalamika Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! mwisho tukashauri tukubali matokeo ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.Mwalimu comrade Pascal Mayalla
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee zaidi ya yote...
haikutegemewa Hayati E.G.Lowasa kujiengua CCM na kujiunga CDM, lakini ikatokea. wengi waliathirika kisiasa pakubwa mno na wengine mpaka sasa athari za gharika ile zinawatesa..
naunga mkono hoja.lakini pia ni muhimu sana kuepuka hofu za mabadiliko ya kisiasa ambayo hayaepukiki, vinginevyo kukumbana na mateso moyoni na kisaikolojia kila kila mabadiliko yanapotokea hayaepukiki..
katika siasa hasa za kitaifa ni vizuri zaidi kujifunza kujitegemea ili kusitokee mtikisiko anapo ondoka mwanachama muandamiz kutoka chama kimoja kwenda kingine, kama ambavyo hofu inaonyesha kutanda kwenye tetesi hii ya kisiasa 🐒
Kila jambo lina wakati wake.ni muhimu ukafahamu kwamba hakuna lisilowezekana kwenye siasa 🐒
Nashukuru umekiri kuwa CCM nyie ni wajinga snsi ndio maana anajiengua kwa wasiojielewa chadema na huenda akajiunga ACT wazalendo🐒
Uhusiano ni wizi wa mali za ummahaihusiani na hoja mezani hata kidogo 🐒
CCM hawaibi mali za umma?unahamisha magoli taratibu right?🐒
Ndiyo ungetoa jibu la uhalisia na sio la kufikirika.na wakati wenyewe ndio sasa, na kama siyo sasa ni sasa hivi, right?🐒
Si tetesi zote zinatimia kuwa kweli, mambonya siasa uwongo mwingi. Hili nalo litapita tu hamna jipyani muhimu sana ukazihifadhi vizur hizo tetesi ili wakati muafaka ikitimia iwe rahisi kuthibisha na kujiridhisha, sawa?🐒
umuhimu moja wapo wa hoja yangu ni kukuandaa ili upokee dynamics hiyo ya kisiasa bila taharuki,Ndiyo ungetoa jibu la uhalisia na sio la kufikirika.
Upupu huyo we unahangaika nae?
Kuna mwingine ameanzisha Uzi Heche kutimkia CCM this morning wote ni upupu.
uko sahihi,Si tetesi zote zinatimia kuwa kweli, mambonya siasa uwongo mwingi. Hili nalo litapita tu hamna jipya