Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ccm imejaa watu wahongo sana
 
Uliandika pia kuhusu Lema kutimkia Ccm !
Tunasubiri mrejesho ! What happened ??!
these are living political theories and narratives. kumbuka, political dynamics is unavoidable...

Nashauri kuzihifadhi vyema theory hizi kama reference kwaajili ya kujiridhisha wakati muafaka ukifika 🐒
 
Baada ya hapo maisha yako yataboreka! Vipi, ulikosa mlo wa jana usiku?
niligombea ubunge nikiwa na laki5 tu, na sasa niko hivi nilivyo, kwa hakika maisha yangu sio tu yameboreka, bali yamebadilika mno pia...

kwa jitihada kubwa sana za Dr Samia Suluhu Hassan, hasa katika mageuzi ya kilimo sidhani kama kunamTanzania anakosa kufungua kinywa, chakula cha mchana wala mlo wa usiku,

acha uvivu gentleman 🐒
 
Huna unalojua. ACT wameshamaliza uchaguzi wao.
it is said,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and excuted in order to achieve certain political objectives..

Political dynamics is unavoidable, hakuna ramli kwenye mipango halisi 🐒
 
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nikionaga mleta ubuyu ni wewe huwa sijisumbuagi kusoma. PUMBAFU
 
Naunga mkono hoja mtu yeyote kuwa huru kuhamia chama chochote ndio maana tulitoa ushauri huu kwa Chadema Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? ila tukubali tukatae wanachama na viongozi hawafanani, kuna wengine ni nguzo na mtaji, hivyo wanategemewa sana, huku wengine ni magarasa tuu.

Magarasa wakihama, hakuna athari zozote lakini nguzo zikihama, zina athari kubwa.

Heche ni nguzo!, kwangu mimi huyu ndiye mtu wa kumpokea Mbowe Uenyekiti, hivyo taarifa za uzushi kama hizi, zinatishitusha!, haswa kwa kuzingatia John Heche ni kutoka kabila la watu wenye msimamo.

Tanzania tuna makabila mengi, kuna makabila walaini laini unawaswaga tuu kama ng'ombe na kuna makabila wagumu wenye misimamo.

Ukisikia mtu wa makabila laini laini amehama hushangai, ila Ukisikia mtu wa kabila gumu amehama chama, lazima ushangae.

John Heche namuaminia, mimi ni Tomaso hii habari siiamini kuwa ni ya kweli mpaka...
P
Mwalimu comrade Pascal Mayalla
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee zaidi ya yote...

haikutegemewa Hayati E.G.Lowasa kujiengua CCM na kujiunga CDM, lakini ikatokea. wengi waliathirika kisiasa pakubwa mno na wengine mpaka sasa athari za gharika ile zinawatesa..

lakini pia ni muhimu sana kuepuka hofu za mabadiliko ya kisiasa ambayo hayaepukiki, vinginevyo kukumbana na mateso moyoni na kisaikolojia kila kila mabadiliko yanapotokea hayaepukiki..

katika siasa hasa za kitaifa ni vizuri zaidi kujifunza kujitegemea ili kusitokee mtikisiko anapo ondoka mwanachama muandamiz kutoka chama kimoja kwenda kingine, kama ambavyo hofu inaonyesha kutanda kwenye tetesi hii ya kisiasa 🐒
 
Back
Top Bottom