Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,341
- 37,781
Wakikujibu na mimi nishtuenyie mliofanikiwa kupata hivyo vitu chini ya 30 ebu semeni na mbinu mlizozitumia kufanikisha iyo mission
Wakikujibu na mimi nishtuenyie mliofanikiwa kupata hivyo vitu chini ya 30 ebu semeni na mbinu mlizozitumia kufanikisha iyo mission
mimi isingekuwa my extended family na shida nyingi hizi, basi hadi kufikia umri huo ningekuwa na gari na nyumba and more Nashukuru Mungu niliwahi kusoma na kupata kazi nzuri katika umri mdogo, nilimaliza my master degree at the age of 24. Nikapata kazi ya kunilipa mshahara mzuri sana at the age of 25, now nina miaka 27. Namshukuru Mungu napata mshahara si haba, nikijibana naweza nunua gari, nikajenga nyumba na nyongeza kabla ya kufikia 30. Lakini doo, mshahara ukitoka tuu unapukutika hatare, Umtumie bi mdashi home, shangazi sijui mjomba nini na nini basi najukuta naendelea kuwa maskini tuu bila kupenda. saivi ndo nipo nawajengea wazazi nyumba, nimalizanane nao ndo nianze kujijenga mimi.
Inategemea na familia inayokuzunguka. Kama ni wategemezi sana kwako, safari bado ni ndefu. Binafsi nilikuwa sana na tegemewa. Hadi leo hii nafikisha 30 sina nyumba wala gari zaidi ya kumiliki trekta, daladala na canter
Sio lazima utoboe kwa hela za wazazi. Nina mifano kama 3 real. Kuna rafiki yangu under 30 kaacha kazi mwaka jana pale World vision anamiliki mark x kali na nyumba. Hajarithi chochote. Mwingine alivyomaliza chuo kapiga ymachinga kariakoo kisha kashirikiana na wenzie kupanga chumba kariakoo, sasa hivi anapiga biashara china, india, tz. Kama unajua kodi ya chymba pale kariakoo utaelewa, Hajarithi kokote.
Mwingine ni ndugu yangu kabisaa, mwanajeshi sasa hivi anamalizia mjengo kigamboni, napiga nae story anasema mwezi wa saba ananunua gari. Naye hajarithi chochote na ni under 26.
Kiukweli sometime miaka tunayotumia kwenye elimu zetu hizi za calculus, zinatucheleweshea maendeleo kutufanya watafuta kazi
Wengi ni wapiga dili, hawawezi kusema!!Nimegundua kitu kwa watz ngumu saana kukuambia siri iliyopo nyuma ya mafanikio yake!!
Don't be so negative and bitter my friend. Nimeanza darasa la kwanza nna miaka mitano. Nimesoma shule za government hadi chuo cha government. nilivomaliza my first degree nikapata kazi as a tutorial assistant katika chuo kimoja, chuo kika offer kunisomesha masters. So nikawa nasoma MA huku nafundisha (nakatwa ada kwenye mshahara). Nimejisomesha chuo first degree kwa boom. No one ever got my back. Mungu tuu mwenyewe ndo alisimamia shoo. So don't be so bitter, miracles happenKwa hiyo speed tu ya usomaji there was someone very stiff behind your back usindaganye... Umri 24 umalize masters kama hukupitia zileshule za Mchungaji na fikiria gharama iliyotumia kukupelekea shule za awali katika umri mdogo halafu hapa unakuja kulalamika kuwa extended family... Man Give Back to your Familiy kwa kawaida umri huo wa kufika kiwango hicho Familia yako iliyokusupport siyo ya Sport Pesa,.. Mkuu
Afu class nilikua niko vizuri sana. I mean i was an A grade student. So tokea nilivoanza darasa la kwanza nikaja kumaliza masters bila kukatiza. Yani nimemaliza la saba nikaunga niliunga moja kwa moja bila kupumzika mwaka hata mmoja, hadi namaliza my Masters degree. Nimesoma mfulizo for damn 18 years.Kwa hiyo speed tu ya usomaji there was someone very stiff behind your back usindaganye... Umri 24 umalize masters kama hukupitia zileshule za Mchungaji na fikiria gharama iliyotumia kukupelekea shule za awali katika umri mdogo halafu hapa unakuja kulalamika kuwa extended family... Man Give Back to your Familiy kwa kawaida umri huo wa kufika kiwango hicho Familia yako iliyokusupport siyo ya Sport Pesa,.. Mkuu
Afu mind you, sijalalamika ila natoa my experience tuu kama wengine wanavotoa zao. And am very proud to give back to my family.Kwa hiyo speed tu ya usomaji there was someone very stiff behind your back usindaganye... Umri 24 umalize masters kama hukupitia zileshule za Mchungaji na fikiria gharama iliyotumia kukupelekea shule za awali katika umri mdogo halafu hapa unakuja kulalamika kuwa extended family... Man Give Back to your Familiy kwa kawaida umri huo wa kufika kiwango hicho Familia yako iliyokusupport siyo ya Sport Pesa,.. Mkuu
Afu mind you, sijalalamika ila natoa my experience tuu kama wengine wanavotoa zao. And am very proud to give back to my family.
Mkuu story za humu nyingi huwa ni fictitious.Kwa hiyo speed tu ya usomaji there was someone very stiff behind your back usindaganye... Umri 24 umalize masters kama hukupitia zileshule za Mchungaji na fikiria gharama iliyotumia kukupelekea shule za awali katika umri mdogo halafu hapa unakuja kulalamika kuwa extended family... Man Give Back to your Familiy kwa kawaida umri huo wa kufika kiwango hicho Familia yako iliyokusupport siyo ya Sport Pesa,.. Mkuu
Ndo mana wengine tuna admit kuwa kwa haya maisha yetu ya mtanzania wa kawaida, with extended families etc. Tunaendelea kuwa maskini huku tunajiona.Mkuu humu kila mtu atakwambia anavyo wakati wengine ni family relay au wa kuishi kwa shemeji. Cha msingi pambana tu utavipata achana na story za watu wa JF wengi ni waongo
Unaweza ukawa na 46 huna nyumba wala gari lakini moyoni una amani na hofu kwa kuamini kwamba utajenga na kununua gari kutokana na strategies ambazo umejiwekea. Hata hizi nyumba ambazo wengi tunasema tumejenga kimsingi ukizifanyia tathimini utagundua bado hazijaisha though kwa vigezo vyetu tunasema zimeisha maana nyumba nyingi ambazo hata tulizowahi kupanga unakuta ni nzuri ndio lakini drishani kuna wavu au ndani imepigwa lipu ndani haina rangi....in this case hata kama mtu hajajenga bado atatukuta tuMkuu,nina 46 lakini sina gari wala nyumba. Kongole