HahahahahNaona mjadala ni mzito. Kabla ya kuendelea tukubaliane gari na nyumba zinazoongelewa hapa ni za thamani gani. Kwangu mimi natangaza wazi gari ya chini ya 15m inakosa uhalali wa kuingizwa hapa... nyumba yenye thamani chini ya 40m pia haipaswi kujadiliwa maana ipo chini ya kiwango. Tukubaliane kuwa gari la kuanzia 15m na nyumba iwe kuanzia 40m ndo zimemaanishwa. Kwahiyo kwa mliosema mna nyumba na gari zenye thamani ya chini ya hapo mnaweza ku-edit comments zenu kama sio kuzifuta kabisa.
Acha roho mbaya wewe. Wee unonekana unaweza hata kuwatoa kafara wazazi wako...Kuwa Mu africa ni ujinga sana..
Unawajengea wazazi kabla ya kujijengea wewe..
Ukitumbuliwa ghafla utarudi kuishi kwa wazazi.?
Kwahiyo niache kula fresh kisa najibana niwe tajiri?,si usenge huoakili huna,kubana matumizi ni mashart ya mganga we tako kweli "siri ya utajiri ni ubahili" achana na utajiri wa kifisadi,utajiri wa kuupigania lazma ujibane,usiwe msengeeeeee wewe muda mwengine matako wewe
Hapo kweli mkuu umejitahidi kufafanua vizuri,hio no 3 asilimia kubwa ndio raia tunapambana nayoHii hoja yako makundi mihimu hata wanaojinasibu wapo humu. Kwa mtazamo wangu makundi hayo ni kama
1. Wakurithi na kuendeleza
2. Wakubebwa
3. Wakuanzia chini kabisa.
4.wenye imani za Kishirikina.
5.Wenye vipaji
6.Wenye bahati.
7.Wezi, Mafisadi
Katika makundi yote hayo tajwa namba 3 ni ngumu sana ndo wengi tupo humu. Hope ndugu yangu mtoa post hupo humo pia. Usikate Tamaa but punguza uaminifu mkuu IPO siku Asante
kila mtu ana degree 37°C unless anaumwaMuulize kwanza ana degree?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana kabisa.... Kuna majamaa zangu kadhaa walikuwa vitengo vizuri kipindi cha JK posho zile walizokuwa wanalipwa wakisafiri waliweza kufanya yote hayo....Mkuu sema Ukweli Kwenye historia yako hakuna backup au Labda hukuelewa mada ya huyu Dogo ...
We jamaa bwana,Acha fix danganya wajinga wengine degree huna bodi walikupa mkopo wa diploma au?? Huu uzi 90% ya comment ni fix tupu
Bro usisikilize ya humu utapanic bure...kila mtu ana ramani yake ya maisha.Humu fix nyingi