wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Na nisipo jiunga kuna tatizo ??Kujiunga na Jeshi si Vibaya Maana Kule Unajifunza UZALENDO,Ukakamavu,Kumbuka ni JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) Means Yapo Mengi Utajifunza Unapokuwa Kule.
Pia Utajifunza Baadhi ya Mbinu za Kijeshi,Gwaride,Uzalishaji Mali,Kujitegemea,Ushirikiano,Pia Utaijua Silaha na Kuitumia Na Mengine Mengi.
Binafsi Nilipangiwa Mwaka 2014 Mtabila KJ.
Nilijifunza Mengi Mno,Pia Waweza Pata Chance Ukiwa Kule Ukajikuta Umeingia Kwenye System.
Ni Maamuzi Yako Kuongeza CV au Kuacha.
Ningekushauri Ujiunge.
UsidanganyeIlishapitisha bila cheti cha jkt form six ukienda kuomba kazi baada ya kumaliza kama huna no kazi
Kakuongopea nani? Unajua Kada zipi zinataka kigezo cha JKT ni just added advantage kwa Mtu ambaye ataomba nafasi ya Security officer wa Taasisi fulani and not otherwise.Ilishapitisha bila cheti cha jkt form six ukienda kuomba kazi baada ya kumaliza kama huna no kazi
Hakuna Tatizo.Na nisipo jiunga kuna tatizo ??
KWA KIFUPI TU-Asante mkuu kwenye mkopo haitanisumbua?
Hakuna madhara zaidi ya kuendelea kuwa mvivu.Wadau nipo mbele yenu wana FB .mwanangu kamaliza form 6 mwaka huu kachaguliwa ahudhurie mafunzooo ya jeshi kwa mujibu ..lakini mwanangu hataki jeshi...
Je asipohudhuria hayo mafunzooo kuna madhara gani atapata au atakosa chuo au atakosa Kaz ???
Ilipitishwa lini? Na nani?Ilishapitisha bila cheti cha jkt form six ukienda kuomba kazi baada ya kumaliza kama huna no kazi
Inawezekana iliongelewa lkn haijapitishwaSikumbuki ila bungeni liliongelewa sana hili swala wee fanya uchunguzi
Uzalendo in dhana pana huwezi jifunza uzalendo kwa miezi mitatu,Kujiunga na Jeshi si Vibaya Maana Kule Unajifunza UZALENDO,Ukakamavu,Kumbuka ni JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) Means Yapo Mengi Utajifunza Unapokuwa Kule.
Pia Utajifunza Baadhi ya Mbinu za Kijeshi,Gwaride,Uzalishaji Mali,Kujitegemea,Ushirikiano,Pia Utaijua Silaha na Kuitumia Na Mengine Mengi.
Binafsi Nilipangiwa Mwaka 2014 Mtabila KJ.
Nilijifunza Mengi Mno,Pia Waweza Pata Chance Ukiwa Kule Ukajikuta Umeingia Kwenye System.
Ni Maamuzi Yako Kuongeza CV au Kuacha.
Ningekushauri Ujiunge.
Uko Sahihi,Ila Nimesema "Utajifunza" Meant Kashajifunza Ps Level & Sc Level JKT ni Mwendelezo!Uzalendo in dhana pana huwezi jifunza uzalendo kwa miezi mitatu,
Hii ni long term behavioral change process ambayo inabidi ianzie kwenye ngazi ya familia na siyo vinginevyo.
Kabla hujafikiria kuasi wasikilize kwanza Masheikh wa Uamsho🤣Nenda Mkuu hata baadaye ukiamua kuwa muasi haitosumbua sana. Binafsi najuta kwanini sikwenda Kwa kuwa Kwa sasa nafikiria sana kuasi
Nalog off
Wale warembo tu hata silaha hawanaKabla hujafikiria kuasi wasikilize kwanza Masheikh wa Uamsho🤣
Hawana hamu kabisa aisee.