Habari za muda huu wakuu,
Samahani kuna selection hizi za jeshi za wanafunzi waliomaliza form six zimetoka na nimechaguliwa kujiunga na jeshi ila nimebakia njia panda.
Nilikuwa nauliza kwani kuna umuhimu gani wa kujiunga na jeshi? Au kuna faida gani ya kujiunga na jeshi JKT na je nisipojiunga nao ni matatizo yapi nitapata ama vitu gani nitakosa au qualification za sehemu gani hua zinahitaji cheti cha jeshi?
Maana mpka sasa bado nipo njia panda niende ama nisiende naombeni wenye uzoefu mnisaidie kwa hili maana wengine wananiambia itanisumbua kwnye mkopo wengne kuomba kazi itasumbua naomben mnisaidie kwa wenye uzoefu juu ya hilo swala nisije kuja kujutia baadae either kwa kukosa vitu au kwa kupoteza muda?