kuna ukweli hapa!!

tupa kule huyo mtu.
I once cried because I had no shoes..., until I met a man with no feet...

Yaani hii ikiwa sababu ya kutupa kule..., kweli tutapata watu ?, nadhani kila mtu ana matatizo yake cha maana ni kuyazoea tu na kama katika package yake yote jamaa hili ndio tatizo, then aendelee tu kumpigia simu na yeye siku akipata shida atampigia, asipompigia basi.., kwani watu waliishi vipi kabla ya simu. (after all men don't like talking as much as women)
 
mmmh!! Kama ni mapungufu ya jamaa na yanamuumiza huyu dada kwanini aendelee hapo!
 
sasa mnakuwa mnachat nini all that time? chatting imechangia 52% ya break up na kugombana, coz mnaishiwa vya kuchat manaanza, 'mbn unachelewa kujibu?' kupigiana simu isiwe everytime, jamani eeh! kumbukeni na kujenga taifa, kulala na kupumzika..balalnce your time!!!
 
mmmh!! Kama ni mapungufu ya jamaa na yanamuumiza huyu dada kwanini aendelee hapo!
Ni kweli kukaa na kuendelea na kitu kinachokuumiza sio vema, ila issue inakuja ni nani yupo perfect, (jibu ni hakuna) hivyo basi cha maana ni kuangalia kama unampenda mtu basi unamchukua na vikasoro vyake vya hapa na pale (so long as sio kasoro kubwa)... after all..,

True Love is not in finding a perfect person..., but loving an imperfect person perfectly.... Sasa huyu hapigiwi simu tu amuache je wale wenye wenzao wenye mood swings hata kusemeshwa hawataki wafanye nini
 
ooh! Mi siwezi hiyo, natupa kule kabla hatujafika mbali. Ila nitajifunza hapo.
 
Mhh sasa utatupa kule wangani nadhani kuna mambo ya kuvumilika, na kama 50% ya kile utakacho kipo kwa unayempenda, nadhani utaweza kuishi na hizo 50% nyingine, na kama anakupenda kweli na yeye hata kile ambacho hakipendi sana atafanya tu ili asikuudhi..., (that's compromise),
 
mi najua hakuna aliyekamilika ila ukubwa wa mapungufu yanatofautiana. Kama mpenz ana mapungufu yake na naona hayaniumizi naweza endelea nae. Kikubwa ni kuulinda moyo dhidi ya majeraha. Swala la kuogopa utatupa wangapi huku hufurahii mahusiano ni maumivu pia.
 
Ni kweli ila mtu anapokuja na kulalamika kwamba hana viatu, labda hajaona wasio na miguu..., kwenye matatizo ya mapenzi na kuishi na watu nadhani hili hatuwezi kuliita tatizo. Ni kweli suala la kuogopa kuacha wakati unaumia ni wendawazimu lakini labda pia unachokitafuta hakipo kutokana na high standards.
 
. Ni kweli suala la kuogopa kuacha wakati unaumia ni wendawazimu lakini labda pia unachokitafuta hakipo kutokana na high standards.

hapo umeongea sun. unaweza kuishi maisha ya furaha hata ukiwa single ingawa kuna watu huogopa kuvunja mahusiano yao hata kama hayawaletei furaha wakisahau kuwa wao wenyewe wanaweza kujipa furaha.
Halafu high standards kama zipi? Inawezekana wengi tunakosea hapo.
 
Ni kweli cha maana ni furaha yako, (hata ukiwa peke yako).., lakini kama unampenda mtu na ukiwa nae unapata furaha ila kuna vikasoro vidogo vidogo inabidi uangalie pembeni au kuvikubali tu hivyo vikasoro (unajua tena even a rose has thorns),

Kuhusu standards labda mtu unategemea angel kutoka kwa mwanadamu, yaani unategemea mambo makubwa sana kwake badala ya kumkubali kama alivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom