kuna ukweli hapa!!

Ni kweli cha maana ni furaha yako, (hata ukiwa peke yako).., lakini kama unampenda mtu na ukiwa nae unapata furaha ila kuna vikasoro vidogo vidogo inabidi uangalie pembeni au kuvikubali tu hivyo vikasoro (unajua tena even a rose has thorns),

Kuhusu standards labda mtu unategemea angel kutoka kwa mwanadamu, yaani unategemea mambo makubwa sana kwake badala ya kumkubali kama alivyo.

mambo makubwa kama yapi?
 
mambo makubwa kama yapi?
Unategemea vitu ambavyo ni juu ya uwezo wake.., au mtu sio mcheshi na tangia mwanzo ulijua hivyo lakini unataka awe mcheshi.., au unajua kabisa ni mtu wa kutulia na sio outgoing unataka awe mtu wa parties na kujirusha na wewe.., au unajua kabisa sio mchapa kazi za ndani kwa sana (mvivu mvivu) unataka ghafla awe mchapakazi..., au ni mtu mcheshi anapenda kuongea na watu na kujichanganya na watu ila kwa wivu wako unataka aache kuongea na mtu awe anaongea na wewe peke yako... the list is endless.

Yaani unataka mtu ambae ni perfect kwako yaani kila unachotaka wewe kipatikane kwake (yaani ni kama mwanasesere ambaye kila ukibonyeza remote anafanya kile unachotaka wewe). Wakati nadhani kama tu unampenda anakuheshimu na anakujali na ana roho nzuri na busara mengine yoyote ambayo anayo ni bonus.
 
ooh! Haya, nashukuru.
 
by chatting unamaanisha texting?

if so pamoja na kwamba mimi si mkaka; texting ina ladha yake, coz baadaye unaweza refer zile meseji na au kusuuzika au kuunganisha dots, au chochote. Lakini na kuongea pia kuna raha yake, coz kuna kusikia sauti, kucheka etc. Hivyo ni vizuri kukawa na balance

Dada Kaunga wewe unaprefer kipi?
 
I once cried because I had no shoes..., until I met a man with no feet...

Yaani hii ikiwa sababu ya kutupa kule..., kweli tutapata watu ?, nadhani kila mtu ana matatizo yake cha maana ni kuyazoea tu na kama katika package yake yote jamaa hili ndio tatizo, then aendelee tu kumpigia simu na yeye siku akipata shida atampigia, asipompigia basi.., kwani watu waliishi vipi kabla ya simu. (after all men don't like talking as much as women)
Sun wu u are so dearly tanx alot
 
wapendwa wangu mmenifunza meng hapa na pia nashukuruni sana tuu. Guys mi nadhan ntapata uvumbuz wa mambo mengi saana humu akina sun wu, senetor, husninyo, kikungu,rose bila kukusahau nyani, na wote jaman nawapenda
 
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien

mapenzi hayapimwi kwa kupigiana simu wala kutumiana msg BUT hivyo ni vionjo vya kunogesha mapenzi,zamani kabla ya uvumbuzi wa simu wazazi wetu walipendana na kufikia malengo yao bila shida..
In your context ulishawahi kumwambia mwenzio kuhusu hiyo situation??kama ulimwambia na haonyeshi kubadilika jua ipo nje ya uwezo wake huna budi kuacept weakness yake..
 
Purple mekuelewa mpenzi nishaaccept bt saiv nimeshaizoea hali hiyo ananteen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom