Kuna ukweli gani juu ya mbegu za kiume kitalamu

mwanzo wetu

JF-Expert Member
May 4, 2014
1,581
461
Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza uume ndani ya uke zinaweza kumpa mimba mwanamke.

Msaada tafadhali.
 
Kwa ufupi: Yale majimaji ambayo yanatoka wakati wa orgasm hayawezi kumpa mimba mwanamke hata kama yanajaa ndoo kubwa.
Yale maji yanakuwa kama njia tu ya kutunzia na kufanya mayai yapige mbizi.
Ule mshindo mmoja unabeba mbegu maelfu. Hizo ndizo zinazopaswa kuwa strong ili kusababisha mimba
 
Kabisa.....sasa na zile za mwisho je!
 
Naona ulimwaga nje ukaamua kuunganisha,huu mchezo sio salama.. wenzako huwa wanaenda kukojoa kwanza,
Mimba huweza kupatikana kupitia majimaji ya kwanza kabla haujapiga bao rasmi, na pia majimaji ya mwisho. Tunza tu hiyo mimba.
 
Naombeni ushauli wakitalamu na wauhakika wakuu maana wengi naona badala ya kueleza vizuri wqnanituhumu kuwa nilee mimba
 
Bao moja lina mamilioni ya sperms,
Tumia kinga mda wote, sperms zinaweza zikatoka kabla ya orgasm, wakati hata baada ya orgasm.
 
Back
Top Bottom