Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

Ngono inachosha mwili na kisha mwili una rejuvinate. Inakuwa kama umezaliwa upyaa.
You become so active, but use with care it destroy you.
Ngono inaondoa uwezo wa kufikiri

Wavumbuzi wote wa kisayansi walijiweka mbali na ngono

Angalia viongozi wa kiafrika wengi wamewekeza kwenye ngono ndio maana hata nchi za africa zimedumaa
Wanasayansi wanajiweka mbali na ngono kwa sababu ya mda. Ngono inahitaji mda, baada ya ngono unapata deep sleep.
Vile vile wanasayansi wanakuwa wametekwa na jambo moja ambalo akili inajishuhulisha nalo hivyo hamu ya ngono inapotea.
Mara nyingi wanaojishughulisha na ngono hawana tatizo la kuwashughulisha akili.
 
Akili inafanya kazi mpaka kiumbe kinatokea, ni kazi inayomsaidia Mungu katika swala la uumbaji. Ukicheki kwa makini, anaefanya hilo tendo mara kwa mara ana amani moyoni kuliko yule asiyefanya. Inaongeza upeo wa akili kufikiri. Mimi ninaona ni starehe namba moja duniani. Sio kwa binadamu tu ila hata kwa viumbe vingine.
 
Ngono haina athari kwa akili, ila inaweza kuathiri utendaji kazi wa ubongo.

Ngono inahitaji nishati nyingi sana. Wakati huo huo ubongo hutumia about 20% ya nishati inayozalishwa na mwili wako.. so kama unatumia nishati yako nyingi kwenye ngono, natumai unaweza kuona athari yake kwa ubongo.
Hii ni kweli nilipokuwa napiga nyeto akili yangu nakumbuka ilikuwa very slow....nakumbuka hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom