GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 145
- 166
Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila kitu.
Sasa naomba kujua utofauti wake ni upi mpaka moja iwe masters na nyingine iwe postgraduate diploma?