Ukishindwa kujibu kaa kimya mkuu. Sio lazima kila mtu ajue wewe ni mjinga kiasi gani.Nashauri mleta mada atafute wazazi wake au watu wazima wanaoshi jirani yake watamsaidia kutofautisha hapa jukwaani wengi wetu tunawaza mengine haya maswali ya watoto ni shida.!
Afadhali ya wewe mkuu, umejaribu kujibu!1.Kaputura (kaptura) ni kwa ajili ya watoto wa kiume wanaosoma shule za msingi.
2.Bukuta (bukta)ni kwa ajili ya watu wote wakubwa kwa wadogo sema mara nyingi hutumika kwenye lahaja za kimichezo.
3.Pensi pia huvaliwa na watu wote,na chimbuko lake ni nguo vupi ya jinsi lakini hii imeenda mpaka sikuhizi kuna pensi za nguo laini au vitambaa.
Note:- Majina yote yana maana sawa yaani yanataja kitu kile kile
Kaptura
Ndio maana huwezi kwenda matembezini na buktamara nyingi Pensi inakuwa kaptula ya kitambaa cha jeans,kigumu,,kaptula inaweza kuwa ya kitambaa cha cotton lakini si cha jeans,halafu bukta ni kaptula ila ya kitambaa laini,mfano polyster,kwa uelewa wangu
Mjinga wewe usiejua maana ya majina hayo,yaani hadi unaota mav*zi na unapata mume bado hujui vitu vidogo kama hivyo?Ukishindwa kujibu kaa kimya mkuu. Sio lazima kila mtu ajue wewe ni mjinga kiasi gani.
Naomba nikupandishe cheo, kutoka kuwa mjinga mpaka sasa wewe ni MPUMBAVU rasmi.Mjinga wewe usiejua maana ya majina hayo,yaani hadi unaota mav*zi na unapata mume bado hujui vitu vidogo kama hivyo?
Unampaje huduma mumeo na wanao kama vitu vidogo vinakushinda kuelewa!?
Jiangalie tena huko chini jinsia yako!!
Naona watu wanarukaruka ngoja muhenga niwape somoHivi vitu kiukweli mimi binafsi vinanichanganya, kama ambavyo hesabu logarithm zilivyokuwa zikinichanganya sekondari.
Kwa wale wajuzi wa mambo hebu tuwekane sawa hapa, kuna tofauti gani kati ya bukta, pensi na kaptura?