Kuna tofauti gani kati ya Lecture na Teacher?

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,122
11,853
Wakubwa naomba kupewa maana na tofauti kati ya Lecture na Teacher.
 
Lecture ni hotuba/mhadhara ila Teacher ni Mwalimu. Or Teacher person who teaches or instructs, especially as a profession
 
Lecturer ni mwalimu au mkufunzi wa chuo kikuu mwenye shahada ya uzamivu (Phd) na Lecture ni ufundishaji unaofanywa na mwalimu kwenye kipindi cha somo fulani ambapo mwalimu ndiye anayeongea na kutoa maarifa au ujuzi flani kwenye kipindi darasani bila kupokea maoni/mawazo ya wanafunzi wake kuhusu mada husika.
 
Back
Top Bottom