hayaUtaenda kimyakimya hivyo hivyo
Sasa hapo ndio sikuelewa ila mpaka kufanikiwa walitumia dakika kama 10 tena kwa kugonga na nyundo kuhakikisha linafunga tayari kwa safari ya MoshiAu mambo yetu yalee ya viapo na maagano
Basi itakuwa ndio sababuWatani zangu hao wana maagano na viapo vingi
Leo nimejifunza kitu hapa. Nakumbuka niliwenda kutembelea familia moja hivi, kumbe wakati naaga nikasahau simu yangu. Ikanilazimu kurudi nakumbuka wakati nafika mlangoni nikakutana na kauli hii " hata ukifa jeneza lako litarudishwa hivi hivi kama unavyorudi" nilipata uoga sana. Lakini alinisaidia siku hizi kurudi labda nimesahau nauli.
hii noma sasa walitaka usiirudie simu yako? Halafu kumbuka maneno huumba na kuundaLeo nimejifunza kitu hapa. Nakumbuka niliwenda kutembelea familia moja hivi, kumbe wakati naaga nikasahau simu yangu. Ikanilazimu kurudi nakumbuka wakati nafika mlangoni nikakutana na kauli hii " hata ukifa jeneza lako litarudishwa hivi hivi kama unavyorudi" nilipata uoga sana. Lakini alinisaidia siku hizi kurudi labda nimesahau nauli.
mi narudi hadi mara 2, mara mkoba niliobeba hauna vitambulisho wala kadi, au nimesahau simu au kitu chochote muhimu, yani mpaka nikishatoka ndo huwa nakumbuka hivyo nalazimika kurudi.....Jimena tutakurudisha hivyo hivyo![]()
![]()
![]()
![]()
mi narudi hadi mara 2, mara mkoba niliobeba hauna vitambulisho wala kadi, au nimesahau simu au kitu chochote muhimu, yani mpaka nikishatoka ndo huwa nakumbuka hivyo nalazimika kurudi.....
Naona nichukue hatua za kujirekebisha sasa
Hapana ntarekebisha hii hali Kabla sijaondokaJimena tutakurudisha hivyo hivyo
Uwiii auwiii yelewiii tayar mbona uwiiii hii ndo mida yangu hiii auwriiii yelewiii jamani
Subir ntulie uwiii uwiiMbona mayowe tena ndugu??