Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,789
- Thread starter
- #121
Msamaha huleta nafuu ya mwili..lakiniSamehe ili nawe usamehew
Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye...