miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ha hahaha tena lohUw
Uwiii uwiiiie uwiiie yeuwiiii auwiiii jamani auwiiii yruwiiii uwiii
ha hahaha tena lohUw
Uwiii uwiiiie uwiiie yeuwiiii auwiiii jamani auwiiii yruwiiii uwiii
Siyo ya kuchomekea ni chuma kabisa, naomba upitie pale uje na ya sasa mtani wangu.Mmh sio ya kuchomekea kweli hiyo? Mimi hiyo ni zile za kwanza
Ni kwa vile kwenye ulimwengu wa roho ufahamu wako hubeba hiyo hulka na tabiaKuna kaukweli mkuu Mshana Jr. Imani hii nimeisikia cku nyingi sn. Wanasema pia ukipenda kusemasema ya watu au kutukanatukana utakufa kinywa wazi
uwiioe yeuwiii auuwiii
Mbona unalia lia, usiogope hiyo ndiyo njia ambayo kila mmoja wetu atapitia, jipe moyo mkuu.Uwoii
uwiioe yeuwiii auuwiii
Sorry to say this lakini ninachokiona ni michezo ya magazeti ya udaku kuweza kuuza magazeti yaomshana jr, thanks, ni hiyo, sasa nipe ufafanuzi kuhusu hicho kilichopo mbele ya huo msalaba, halafu huwa inahamishwa hamishwa, ni kama kuna watu maalum wanaosimamia hicho kitu.
chamecha maeKweli mtani, hata tabia yangu sijaikariri vizuri, nitarudi hapa kwenye huu uzi.

Asante GIUSEPPE kwa nyongeza hiiBwana mshana jr umesema kuwa tabia hizi humfuta mtu mpaka siku akifa na bado unasema mtu abadili ta ia akiwa bado hai.
Mimi ninaamini tabia ulizoandika hazi hazirekebishiki ukubwani, nirahisi kurekebisha kabla hazijatokea mfano makuzi kwa watoto yenye maadili mema, huzuia tabia mbaya ambayo iko ndani ya mtu na tabia hiyo ikafa kabisa.
Tabia mbaya au nzuri inakuwa ndani ya mtu tangu kuzaliwa na nyingini ni za kuridhi, Jinsi mtoto anavyolelewa na kukuzwa ndivyo tabia halisi iliyondani hutengenezwa, inategemea mzazi, mlezi au mkuzi na mazingira ili kupata kilicho ndani ya mtoto.
Mtoto anapofika umri wa mtu mzima tabia inayotengenezwa hapo huwa haiondoki, inawezekana ikafunikwa na mazingira lakini kunanyakati zitajionyesha tu, kama ulikuzwa katika maadili mema na tabia njema, kisha ukaangukia katika maisha hovyo ya kishenzi ukubwani, ile tabia njema ulokuzwa nayo haitajificha, itaonekana tu. Sasa hapa inawezekana kurekebiswa na kurudi kwenye uhalisia wa mtu.
Mtu ambae alikuzwa katika maisha hovyo na yakishenzi kisha ukubwani akaangukia kwenye maisha tulivu, ile tabia alokuzwa nayo lazima itajaonekana dhahiri. na hairekebishiki.