Msiba utafurika mashorimpenda ngono msiba wake unakuaje
Am having you while baking..... no where else, milk no, I prefer vanilla yoghurt.Nieleweshe tu nahisi sijaelewa kweli. Lakini Kasie mummy.....do not consume me naked I know I'll cause you discomfort. Have me with something else, hata na fresh milk. I swear u won't regret.
Ndugu yangu hili nalo linahitaji mwanga? Hebu jaribu kuchimba shimo la futi 1 tu kisha fukia uone kama mchanga wote utarudi shimoni.
Au hawakuelewanaNadhani hujamwelewa vizuri mwuliza swali.
Sio kujaa maji tu kubomoka na matukio ya nyuki nyoka na mvua kubwa yapo sanaNilishawahi kusikia, eti kuna watu wakienda zikwa kaburi linajaa maji, wakiyaondoa maji yanarudi tena.
mshana jr, kama una ufahamu unaweza ukanisaidia kuniondoa kona za kiza/giza.
Au kama kuna mwingine anaefahamu anisaidie jibu
Ni kwa sbabu walioendesha msiba huo ni watu wake wa karibu, watu wa karibu na kibaka ni vibaka tu, watu wa karibu na mwenye busara watakuwa wenye busara tu ... hilo si jambo la ajabu ....nime hakiki hiyo namba 4, kuna msiba mmoja nilihudhuria huyo babu alikuwa punctual na mambo yake yalikuwa yanaenda kwa mipango. Msiba ulienda kama yeye alivyo kila kitu ndani ya muda na wakati.
Kasie.
kama yapi???Kuna mengi ya kujiuliza kwenye hii mada
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ndivyo wanavyowapotosha kondooImamu wa Msikiti wa mchangani Kule Pangani Aldaktur fil Professor Abdul Ritz alileta darsa hapa ati kuna majini wazuri na eti kwake yeye Popobawa ni jini zuri...inlalilahi wa inlailaihi rajiuun
Alisomewa albadri huyoKuna ukweli fulani,jinsi utakavyoishi na watu na mwenendo wako kwa ujumla,vitaamua kwa kiasi kikubwa vipi uzikwe na aina ya watu utakaowapata kwenye maziko yako.
Nakumbuka niliwahi kuhudhuria msiba wa jamaa mmoja aliyekua mwizi,tena kibaya zaidi siku moja kabla ya kufikwa na umauti alifanya tukio la wizi kwa kuiba baiskeli msikitini wakati watu wanaswali.
Aina ya watu walioudhuria kwenye msiba wake na jinsi msiba ulivyokwenda daah! mungu amrehemu tu uko alipo.
Mimi nina ugonjwa wa kuiba chupi za wapenzi wangu nawaza hiyo hali siku ya kifo changu itakuwajekama yapi???
Samehe ili nawe usamehewKatabia kanakoniandama pamoja na jitihada zangu zote za kukikataa na kukemea kamenishinda ni kumsamehe mtu alienikosea, hata angeniomba msamaha kiasi gani huwa nashindwa kusamehe na kusahau. Ikitokea sijamuona muda mrefu siku nikimuona tu nitamlaki kwa tukio alilonitendea sio kwa msamaha alioniomba. Niombeeni