Kuna tabia hukuandama mpaka kifo

Kuna tabia hukuandama mpaka kifo

huu uzi umenichekesha hahhahaha na nimeogopa pia kuna msiba nilihudhuria aliefariki alikua mtu wa dini sana na aliweka mambo sawa kabla ya kufariki sasa ndugu wakaja juu kutaka kudhulumisha mali za marehemu marehem alikua akioshwa na alikua sawa baada ya mvutano wa ndugu kuhusu kutaka mali za marehemu huku marehemu alipindisha mdomo pembeni kama amesawijika kama ana maka ile ha! ikabidi asemewe pale akakaa sawa. hii inakuaje mshana
 
Roho yake bado ilikuwa pale na alikuwa anaona na kusikia kila kitu na hakutaka watu waende kinyume na matakwa yake...
Unakumbuka kuna post tulilijadili sana hili? Nitakuja na part II yake leo baadae usikose
 
please unitag natamani kusoma nijue
 
Aisee...Mungu pia anahtajika hapo ili kumwezesha mtu awe na tabia nzur..laa sivyo kwa harakati za mtu binafs ni ngumu sana kubadilika
 
Aisee nakumbuka kuna siku tulienda kuzika bibi mmoja alifariki magomen mapipa safar ya kuzika ikaanza.

Kufika makaburini tu ilinyesha bonge la mvuaaa kimbembe kwenye kuzika sasa ile maiti ikikaribia kaburi linamong'onyoka nusu watu wanachimba tena ikatokea mara kwanza mara ya pili mara ya tatu aisee mara ya nne mpaka ile maiti yote ikawa inaonekana wakamfukia ovyoovyo watu wakasepa toka siku hiyo mazikoni sendi kabisa.

Kurudi kitaa nikaskia yule bibi alikuwa si mtu mzuri.
 
sometimes Kuna wale ambao wakizikwa kaburi linatitia ukiona hivo jua marehemm alikua haridhiki
 
kweli aisee kuna jamaa alikuwa mwizi ila alikuwa tajiri,mara baaada ya mazishi yake baadhi ya vitu vilikuwa havionekani wakaanza kushikana wizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] angekuwa na uwezo wa kufufuka yangetokea maajabu
 
Back
Top Bottom