kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 767
Rafiki VP tena
Rafiki VP tena
Nashangazwa na kuopeshwa na maoni ya huu uziRafiki VP tena
Elimu ya dunia ni pana kama mchanga bahariniNashangazwa na kuopeshwa na maoni ya huu uzi
I love you Kasienime hakiki hiyo namba 4, kuna msiba mmoja nilihudhuria huyo babu alikuwa punctual na mambo yake yalikuwa yanaenda kwa mipango. Msiba ulienda kama yeye alivyo kila kitu ndani ya muda na wakati.
Kasie.
I love you Kasie
Thanks mamito.......Thank you Sugar ..............
Kasie loves you more🙂🙂🙂😉
Ila mie sipendi chai....... I prefer water to tea.............😛
Kaise.
Amazing...!!!Thank you Sugar ..............
Kasie loves you more🙂🙂🙂😉
Ila mie sipendi chai....... I prefer water to tea.............😛
Kaise.
Thanks mamito.......
But Sugar is nowadays scarce, am the only one left. U better have me now for juice rather than tea. [emoji8]
Thanks mamito.......
But Sugar is nowadays scarce, am the only one left. U better have me now for juice rather than tea. [emoji8]
Amazing...!!!
Nieleweshe tu nahisi sijaelewa kweli. Lakini Kasie mummy.....do not consume me naked I know I'll cause you discomfort. Have me with something else, hata na fresh milk. I swear u won't regret.Hhahahahahhaaaaa......
Sugar in now-days life has many harmfulness compared to its sweetness...............
In case I have to inhale juice, then I prefer natural carrot juice without sugar or natural beet root juice without sugar..........
Its true that you are scarce, to Kasie that's a no problem as I do not remeber when was the last time I inhale naked sugar sands (nna wasiwasi hapo nilipo bold hutonielewa)
I will have you for baking but not for direct inhale.............😛😛😛
Kasie.
Ndugu yangu hili nalo linahitaji mwanga? Hebu jaribu kuchimba shimo la futi 1 tu kisha fukia uone kama mchanga wote utarudi shimoni.Kuna kitu hua kinanichanganya! Ile mchanga unapelea wakati wa kufukia kaburi.@mshana jr hebu tolea ufafanuzi juu ya hili
Dah....naona umeingia chaka chief,. kupelea ni kutokutosha/kupunguaNdugu yangu hili nalo linahitaji mwanga? Hebu jaribu kuchimba shimo la futi 1 tu kisha fukia uone kama mchanga wote utarudi shimoni.
Ndugu yangu hili nalo linahitaji mwanga? Hebu jaribu kuchimba shimo la futi 1 tu kisha fukia uone kama mchanga wote utarudi shimoni.
Duh...!!! Alikufa kwa Ngoma huyo marehemu??Dah.. nilienda kwenye msiba mmoja ghafla wakaanza kugawa ndom[emoji12]