Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Bado najiuliza kile kitu ambacho CDF Mabeyo aliahidi kwenda kumwambia mama ofisini kwake ni nini hass? Je ni hiyo habari ya utoroshwaji wa madini pamoja na kuwepo na ukuta pamoja na ulinzi wa jeshi kule mirerani?
mpigie simu
 
Yaani mpaka leo hujajua ni nini!Ngoja nikujuze,akina Bashiru walikuwa wanataka kumpindua Mama wachukue nchi Magufuli alivyofariki ila JWTZ wakazima huo uasi.
Ohooo!Kumbe sawa asante sana kwa taarifa.Ila hapo umetumia "AKINA BASHIRU" huu ni uwingi.Ndani ya akina Bashiru kulikuwa na akina nani humo?
 
Bado najiuliza kile kitu ambacho CDF Mabeyo aliahidi kwenda kumwambia mama ofisini kwake ni nini hass? Je ni hiyo habari ya utoroshwaji wa madini pamoja na kuwepo na ukuta pamoja na ulinzi wa jeshi kule mirerani?
Ni lazima kama Taifa na hasa sisi tunaojiita greater thinker/think tank tukaachana na mambo ya ubashiri (speculations) tukachapa kazi zetu na Nchi ikasonga mbele! Kanuni ni kuwa jambo lolote linalokuhusu litakuja kwako bila hata jasho, kama jambo halijaletwa kwako kwa kifupi halikuhusu.

Tusiendekeze "speculations", uzandki, uchonganishi ambazo kila mtu atatoa hisia badala ya uhalisia, tunayo mambo mengi sana ya kufanya na kujifunza kwa ajili ya faida zetu binafsi, familia na Nchi yetu! Soma, andika vitabu, makala, lima bustani, palilia, jifunze ufugaji, kagua kazi za watoto, tengeneza barabara ya mtaa nk!

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.? Kazi inaendelea!.Naomba tumbe ushirikiano Mhe.Rais SSH kujenga Nchi yetu!
 
Back
Top Bottom