Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

Binadamu ni corruptible akipata chance au upenyo ataiba tu...; Cha muhimu dunia ya sasa tuna uwezo wa kila kitu (mali ya UMMA kuwa transparent) tujue senti imetumikaje / imekwenda wapi na hawa watumishi wetu ikiwemo Rais wanatugharimu kiasi gani...

Bila hivyo Kodi / Pesa zetu zitaendelea kuwaneemesha wachache
 
bima ya watoto nayo naona wameiua kiaina.
Shule zinalazimishwa kupeleka kuanzia majina 100.
Nina watoto 3 shule tofuati toka mwaka jana wote shuleni majina hayajatimia 100
Kufuta Bima ya watoto ni upumbavu kabisa yaani Bima inakuwa haisaidi WANANCHI

Changamoto ya nchii watu wakikaa serikalini akili zinakuwa zaupigaji tu na kuonea watu
 
Ogopa sana viongozi wanaosema ''huyu hafai mwondoeni, atatukosesha kura wakati wa uchaguzi''. Yaani kwao, kura ndiyo muhimu, siyo kwamba hafai kwa sababu anafanya wananchi wateseke na kusiwe na maendeleo, la hasha, hafai tu kwa sababu atawakosesha kura. Hii ina maana gani? Kwao ina maana kuwa kiongozi mzuri ni yule anayefanya wapte kura nyingi na siyo yule anayewajibika na kufanya kazi kwa bidii.
Hakuna uzalendo Kwa Sasa zaidi ya Title
 
20240223_192538.jpg
 
Kufuatia habari zisizo sahihi katika mitandao ya kijamii, mkurugenzi wa NHIF Mfuko wa Bima ya Afya kupitia mkurugenzi wake mkuu wafanya press conference kutoa ufafanuzi :

29 February 2024

🅻🅸🆅🅴 : SAKATA LA NHIF KUTOLEWA UFAFANUZI MUDA HUU/TANGAZO LA APHTA/MVUTANO /MAJIBU YA NHIF

View: https://m.youtube.com/watch?v=2sFDJ5vHPn8
Kwa niaba ya kamati ya maboresho ya kitita cha mwaka 2023 yalianza mwaka 2018 kufuatia maelekezo ya wizara ya afya dokezo la 2017. Mara ya mwisho mabadiliko yalifanyika 2016.

Mabadiliko ya kiteknolojia mengi yamezuka tangu 2016 hivyo kulàzimu kuboresha kitita cha mafao 2023 na hivyo mwaka January 2024 APHTA kuomba kushirikishwa kama wadau MAT (Madaktari), hospitali za kanisa CSS, hospitali za BAKWATA na wataalamu wa wizarani:

Za ziada kwa kina hapa chini :

1709229058362.png

1709229094656.png

1709229138137.png

1709229174934.png

Source : https://www.nhif.or.tz/announcements/maboresho-ya-kitita-cha-mafao-kwa-wanufaika-wa-mfu#gsc.tab=0
 
Nchi imefilisika huko mbeleni hata penseni haita kuwepo🤣🪑🤣🪑🤣🪑🎶🎶🎶
 
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.

JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI. Kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa

Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
Pesa za bima wamejengea maghorofa ya gharama na uwekezaji mwingine mkubwa na hawa ndiyo wanajilipa mishahara mikubwa kuliko yeyote. Acha ife tu wahuni hawa wanaelewa uchumi lakini wanajilipua tu acha ife ili wajue faida yake.
 
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.

JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI. Kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa

Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
Unazungumzia NHIF au hata akina Jubilee et el?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom