Ng'wamapalala
Naamini wewe si mgeni au mtoto kiasi kutokujua ya kwamba:-
1. Siasa za
accomadative politics zilishashindwa na NCCR, TLP, CUF na daima kwa Siasa za MACCM zilivyo haitakaa kamwe hii style kufanikiw akuiondoa CCM madarakani.
2. Hili la kusema kuna chuki zidi ya
Zitto ni prppaganda zilezile za siku zote na hata yeye mwenyewe zitto amekuwa akisema kila siku haya kuwa wanapandikizwa chuki bila sababu na ni kuwachonganisha tu wana-CHADEMA ili wafarakane na MACCM yaendelee kupeta.
Na hata hizi porojo za leo zimeanzia kwenye ziara inayoendelea huko kanda ya Magharibi ambayo kiukwlei ni kitu kilichotangazwa siku nyingi sana na kimeandaliw asiku nyingi na sio kitu cha kuzuka, watuw ankuja wanahoji kw anini ZITTO yupo peke yake, mnajibiw akuwa sababu ni kuwa hiyo ni mikutano ya KIKANDA haitaji viongozi w akitaifa kuwepo na hata Kanda zingine zinaendesha hiyo mikutano kila siku.
Pia kama ingekuw ani kuhoji watu wangehoji wapi ARFI ambaye ni mbunge wa Kanda hiyo lakini mleta mada hawezi hoji hilo kw akuwa alisha panga mambo yake pamoja na kutengwa pia atumie KETE ya UDINI sasa nashindwa kwa kuwa ARFI na ZITTO ni DINI moja anakosa hoja za kulalamika.
Pia ilizuka hoja ya kuwa mbona ZITTO hana ELIKOPTA wakati ipo wazi kuw ahiyo ni mikutano ya Kanda na nilion aPicha FB akiwa na GARI la M4C na sio gari lake binafsi, sasa sijuhi walikuwa wanataka nini.
CONCLUSION:
narudia tena 2015 WAISLAM wenzangu mataaumbuka pale MACCM watakapo msimamisha MKATOLIKO LOWASSA na CHADEMA watakapo Msimamisha ZITTO from now where na hili
Pasco alisha lizungumzia sana hapa
kuwa TURUFU ya CHADEMA ni ZITTO na naaminio CHADEMA ni wenye akili na kujingamua na siku ya siku ZITTO atapeperusha bendera ya CHADEMA ya URAISI sijuhi BAKWATA watakuw aupande gani.