Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Mkuu, kama umegundua , hivi sasa anatembelea mikoa yote ambayo imesahaulika na M4C.
Ni wajib wake pia kupeleka m4c sio imesahaulika ni ukanda wake
Mkuu, kama umegundua , hivi sasa anatembelea mikoa yote ambayo imesahaulika na M4C.
masanjasb"Pia kama ingekuw ani kuhoji watu wangehoji wapi ARFI ambaye ni mbunge wa Kanda hiyo lakini mleta mada hawezi hoji hilo kw akuwa alisha panga mambo yake pamoja na kutengwa pia atumie KETE ya UDINI sasa nashindwa kwa kuwa ARFI na ZITTO ni DINI moja anakosa hoja za kulalamika"
Lengo la uzi huu haikuwa kuhoji zito yu wapi nanafanya nini wala kulalamikia zira zake? ulitakiwa usome Uzi unaongelea nini sio kusema tu eti tungehoji ARFI aliko?
kuna mtu humu aliuza why zito yupo tabora na sio arusha or kilimanjaro,na mie nikajibu kuwa aliko zito ni kanda yake kwa hyo lazima mda wote awe active kuhakikisha kuna uhai wa chama kwenye kanda hyo,nways jiridhishe tena kwa kusoma mada ili uje uchangie mda sasa
"Tatizo lililopo hapa ni baadhi ya wanaCHADEMA wamejengwa kisiasa katika misingi ya isolationist politics kiasi cha kujenga fikra na mitazamo ya kihasama kati ya wao kwa wao au kati yao na vyama vingine vya kisiasa. Sababu kuu ni hii fikra ya kudhani wao ni bora kuliko wengine, na ili ufanikiwe lazima uwe mmoja wao. Huu ni aina fulani ya ubinafsi wa kisiasa ambao unasababisha kutumia njia zozote zile katika kufanikisha malengo yake"
"fikra ya kuzani wao ni bora kuliko wengine" katika andiko lako nimechukua nukuu hii moja ili nikuulize swali jepesi tu.
vyama vya upinzani vina miaka 20 t0 25 lakini Tanu badaye ccm ina miaka zaidi ya 51 madarakani na bado inataka kuendelea kutawala milele na milele,kwa misingi hii ni wapi wenye fikra ya kudhani wao ni bora kuliko wengine? chadema or ccm?
Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni nimekusoma!.Ng'wamapalala
Naamini wewe si mgeni au mtoto kiasi kutokujua ya kwamba:-
1. Siasa za accomadative politics zilishashindwa na NCCR, TLP, CUF na daima kwa Siasa za MACCM zilivyo haitakaa kamwe hii style kufanikiw akuiondoa CCM madarakani.
2. Hili la kusema kuna chuki zidi ya Zitto ni prppaganda zilezile za siku zote na hata yeye mwenyewe zitto amekuwa akisema kila siku haya kuwa wanapandikizwa chuki bila sababu na ni kuwachonganisha tu wana-CHADEMA ili wafarakane na MACCM yaendelee kupeta.
Na hata hizi porojo za leo zimeanzia kwenye ziara inayoendelea huko kanda ya Magharibi ambayo kiukwlei ni kitu kilichotangazwa siku nyingi sana na kimeandaliw asiku nyingi na sio kitu cha kuzuka, watuw ankuja wanahoji kw anini ZITTO yupo peke yake, mnajibiw akuwa sababu ni kuwa hiyo ni mikutano ya KIKANDA haitaji viongozi w akitaifa kuwepo na hata Kanda zingine zinaendesha hiyo mikutano kila siku.
Umemaliza vizuri kuwa Mwigullu na ZITTO ni pubic figures, unachotaka kufanya ni kuwachonganisha tu, kaanze weekend.
uongo mwingine mtanyongwa slaa alikuwa wa tatu utasemaje alifanya vizuri.
Wewe tatizo lako mdini
Mtu kama ZeMarcopolo anapomsifia kiongozi wa CDM hivi, ni lazima kuwe na maswali!!!Zitto ni mwanasiasa mstaarabu mwenye agenda ya ujenzi wa Taifa imara lenye amani, utulivu na umoja...
Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni nimekusoma!.
Kwanza, Nianze kwa kusema kuwa sifahamu ni siasa za aina gani zinazoweza kuitoa CCM madarakani lakini vile vile huwezi kutumia mifano ya NNR-Mageuzi, TLP na CUF ili ku-reinforce and justify kuwa siasa hizi haziwezi kufanikiwa pia under CHADEMA.
Ni kweli historia ni darasa lakini vile vile, wahusika na mazingira kwa sasa ni tofauti na miaka hiyo.
Siasa hazina formula na kama ipo, basi itakuwa imejificha sana and very selective, lakini kikubwa zaidi, siasa za nchi za kiafrika(Tanzania) ni convoluted kiasi kwamba hata research zake kupata angalizo/utabiri zinakuwa ni ngumu sana. Kama kungekuwa na formula ya kuiondoa CCM madarakani basi ninatumaini ingekuwa tayari applied na hivyo vyama ulivyovitaja, lakini kwa vile haipo au haiko wazi, ndiyo maana CCM bado iko madarakani mpaka sasa hata baada ya chaguzi kuu nne katika siasa za vyama vingi.
.
Zito ni mwanasiasa mwenye ambition ya kuwa zaidi ya vile alivyo sasa hivi. Anadhani anaweza kuwa juu kuliko nafasi aliyokuwa nayo sasa hivi. Katika chama chake anakuta taasisi isiyotaka kumjenga mtu ila kujenga taasisi. Anaona kama ni kujenga taasisi hatatoka na kufikia malengo yake kwani taasisi inaweza kuona mtu anayefaaa taasisi lakini siyo Zito. Kwa kuona hivyo anaanza kujijenga kwa kujiweka mtu wa msimamo wa wastani ili kuwafikia watu walio kwenye vyama vingine. Hii ni sababu CDM kama taasisi haiwezi kumpa nafasi ya kuwa sura ya taasisi kwani haonekani kuwa mtu anayeweza kuaminiwa kusimamia chama bila kuleta vurugu kwenye chama hicho na kukivuruga. Ili kutimiza malengo yake anajiweka mbali na harakati za chama. Kwa kujiweka mbali na chama na kuhitaji uungaji mkono wa watu wengine anaonekana na watu wa ccm kama mtu muhimu anayeweza kukivuruga chama hicho. Kwa hiyo Mwigulu hata kama pengine hawana uhusiano wa moja kwa moja lakini atakuwa anaona Zito ni loose end inayoweza kuivuruga CDM, kuivuruga CDM ambayo ni lengo kuu la Mwigulu anayetaka kujijengea jina kwenye chama chake kwa kukisambaratisha chama tishio kwa chama chao. Naamini Zito hafanyi kazi na Mwigulu ila Mwigulu anamspare ili kumleta karibu kufikia malengo yake.
Mtu kama ZeMarcopolo anapomsifia kiongozi wa CDM hivi, ni lazima kuwe na maswali!!!
Katibu Mkuu wa magwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.
Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hisia zako ni 99% hata hivyo Zitto ashashuka sana kisiasa wala hakuna haja ya kufuatilia tabia za uke wenza za Zitto.
Mtu kama ZeMarcopolo anapomsifia kiongozi wa CDM hivi, ni lazima kuwe na maswali!!!

....udini ni umaskini....Zitto ni mwanasiasa mstaarabu mwenye agenda ya ujenzi wa Taifa imara lenye amani, utulivu na umoja...