Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Tatizo lenu mmezoea kulalamika.

Mkisifiwa mnalalamika, mkipewa chakula mnalalamika, mkiachwa na njaa mnalalamika, mkiongezewa mshahara mnalalamika, ukipunguzwa mnalalamika.

Sasa hapa kiongozi wenu anasifiwa, bado mnalalamika!

Kulalamika imekuwa ni tabia sugu ya wafuasi wa KADIMA.

Cc masanjasb

..udini ni dalili ya umaskini wa fikra....
 
Tatizo lenu mmezoea kulalamika.

Mkisifiwa mnalalamika, mkipewa chakula mnalalamika, mkiachwa na njaa mnalalamika, mkiongezewa mshahara mnalalamika, ukipunguzwa mnalalamika.

Sasa hapa kiongozi wenu anasifiwa, bado mnalalamika!

Kulalamika imekuwa ni tabia sugu ya wafuasi wa KADIMA.

Cc masanjasb
Tofautisha kulalamika na ku-comment!
 
Tatizo lenu mmezoea kulalamika.

Mkisifiwa mnalalamika, mkipewa chakula mnalalamika, mkiachwa na njaa mnalalamika, mkiongezewa mshahara mnalalamika, ukipunguzwa mnalalamika.

Sasa hapa kiongozi wenu anasifiwa, bado mnalalamika!

Kulalamika imekuwa ni tabia sugu ya wafuasi wa KADIMA.

Cc masanjasb

Mie mara nyingi nalalamikia siasa chafu za matusi na kujadili vitanda vya watu badala ya hoja husika, swala la kumsifia mtu sina tatizo nalo, labda niulize kiswali kidogo tu cha nyongeza mkuu ZeMarcopolo tofauti na zitto ni kiongozi gani tena mwingine unaemkubali ndani ya cdm?
 
Last edited by a moderator:
Katika mda tofauti watu hawa wamekuwa wakialikwa kwenye vipindi vya Tv kwa pamoja ila kuna mda mmoja nashindwe kutokea<mara nyingi watangazaji husingizi foleni,kuwa mgeni wetu kashindwa kuja sababu ya foleni,mfano,kuna siku star tv waliwaalika naibu katibu mkuu wa cuf mtatiro,naibu katibu mkuu wa chadema zitto,na naibu katibu mkuu wa ccm mwigulu ila mh zitto kabwe hakutokea na siku hyo mwigulu aliutangazia umma kuwa anao mkanda unaonyesha viongozi wa juu wa cdm wakupinga mauaji:

View attachment 116322[/QUOTE]

Hapo ni star tv?

Hilo tabasamu la mwigulu ni la usoni tu au mpk moyoni?
 
Mwigulu alishatamka adui wake mkubwa ni Dr Slaa sasa unataka amshambulie nani. Kama ulishafuatilia mijadala yote kwenye tv akiwepo Zito na Mwigulu, lazima Mwigulu hakose hoja.
 
Zitto alisharubuniwa zamani na kina Mwigulu kuivuruga Chadema. Bahati mhaya alikuta viongozi wengi wa chsma chake wamekomaa. Hakuna aliyejisumbua naye.
Mnakumbuka kampeni za mwaka 2010, nani alimwona Zitto jukwaani akikampenia chama chake? CCM hawana shida naye sababu waishamuweka kwenye kiganja. Yeye ni kama Ryatonga Mrema. Tofauti ni kwamba mmoja ni mzee na mwingine kijana.
Dili ilikuwa hivi; hawa watu wa CCM walitaka kuigawa CDM kupitia Zitto na kampeni ya dini. Walitaka Zitto atoke na kundi la wafuasi hili general election ikifika, CCM ishinde bila usumbufu. Mchezo ulishtukiwa na kuanzia hapo Zitto akawa ignored na viongozi wengine wa CDM. Ndo maana huwa haonekani nao. Walimwacha ajiue kisiasa.
Ukiwaangalia Mwigulu na Zitto, ni vijana wadogo ila wangekuwa Mbwa, basi usingewatumia mawindoni. Hawachelewi kukung'ata wewe mwenyewe. Hapa nina maana kwamba siasa zao hazina future. Wamejiharibia vipaji vyao kwa kukubali kuwa ma ndumila kuwili. Mwigulu anakubali kutumika kwenye michezo michafu na kuacha finger print all over the place. Huyu anahope kwamba CCM itakuwepo kumlinda forever. Nakwambia utawala ukichange tu, Mwigulu atashtakiwa karibu kila Mkoa.
Bwana Zitto kwa wale wanaofatilia siasa, huyu haaminiki. Mara naacha siasa, mara nimo, mara naenda Somalia, Sudan kufundisha. Hivi Zitto anaweza kumfundisha nani? Hizi ni dalili za denial au natural death. Kidonda cha kuwageuka wanasiasa wenzake ndo kinauguzwa hapa.
Msikilizeni kwa makini, anawasema vibaya wabunge wenzake. Mfano juzi tu aliwambia watu kwamba hakwenda bungeni kupigana ngumi...akifanya reference kwa Sugu. Mimi sio mwana siasa ila naamini Zitto anapaswa kuwa mature sasa. Utoto umemzidia. Hata kama hawapendi wenzake, kuna mature approach anaweza kuzitumia.
Conclusion.
Zitto sio mwanasiasa. Ni ndumila kuwili na ni mtu anaweza kutumiwa na chama chochote kuharibu, huku akidhani anajiinua mwenyewe. Ana self interest zinazozidi interest za taifa. Ni mtoto na hajakomaa kisiasa.
Bwana Mwigulu, haijui CCM. Huyu atageukwa sio muda mrefu. Ila aombe sana taifa lisibadili utawala maana atashtakiwa!
Zitto na Mwigulu, waumini wao...yaani watu wanaowasikiliza, ni watu wajinga, watu wasiopenda kujishughulisha kujua mambo na low information people. Hawawezi kwenda kwa watu waelevu. Na hii ni dalili za mwisho wao.
Simjui zaidi Mwigulu, ila anayependa kumfatilia Zitto, soma mambo yake humu humu JF na facebook. Mpaka unamaliza, utaishia conclusion yangu.

jamaaaa una akili sana! tangu nimejiunga na jamvi hili hyu ndo wa kwanza kuzungumzia kiundani na facts kuhusu mada inayoletwa hapa, wengine naona matusi tuuu. hongera kwa uchambuzi mzuri na wa kina.
 
Mie mara nyingi nalalamikia siasa chafu za matusi na kujadili vitanda vya watu badala ya hoja husika, swala la kumsifia mtu sina tatizo nalo, labda niulize kiswali kidogo tu cha nyongeza mkuu ZeMarcopolo tofauti na zitto ni kiongozi gani tena mwingine unaemkubali ndani ya cdm?

Mnyika.
 
Katibu Mkuu wa magwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.

Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Huyu mwanamke anayetumia ID ya Faiza Fox ni miongoni ya wale walioajiriwa na Mwiugulu nchema ili kumchafua Dr. Slaa na inasemekana kuwa Mwiguku na Mh. Zito wanashirikiana katika kuwalipa ujira wao. Nipo ninaendelea na upelelezi wa kina sasa nimefanikiwa kupata majina halali ya huyu anayejiita Feiza Fox na maelezo muhimu kutoka kwa ndugu zake mbalimbali. Soon nitaweka kila kitu jamvini na hii ni kukomesha watu wote ambao ni registered hapa jf kwa kazi ya kutumiwa kuchafua watu na kueneza propaganda

Jamii Forum is for GREAT THINKER only
 
Kwa kusoma uzi huu, naona baadhi ya wachangiaji hajaelewa mtoa mada ana maanisha nini. Kwa nini tunakuma wavivu wa kutafakari. Yaani watu wanatoka kbs kwenye mada. Vijana uvivu na kukurupuka ni dhambi. Kwangu mimi naona hawa watu wawili, yani Zitto na Nchembd. japokuwa vyeo vyao vinafanana kivyama. Zitto yupo kuikosoa na kuionyesha serikali njia sahihi kutatua matatizo na udhaifu wa serikali ccm, na kwa ajili ya wananchi. Nchemba yupo kwa maslahi yao binafsi. kwan ccm wao wanakauli mbiu inayosema 'chama kwanza' kwa maana hiyo lazima amshambue au ashambulie theat yeyote inayotaka kuwatoa
madarakani. usilazimshe nifikie tofauti
 
Mkuu nakusifu kwa uzi wako huu unaoonyesha unachambua mambo kwa makini. Kwa kifupi ni kwamba watu walio chini ya BOSS mmoja kwa nia moja huwa hawagombani hata kama wanatoka vyama tofauti. Mwigulu ni hazina ya mkuu wa kaya na Zitto ni rafiki mkubwa wa mkuu wa kaya, hapo unategemea nini?. Wawili hawa kuwa nyama tofauti mwingine kuwa upinzani na mwingine kuwa ccm hayo ni kupotezea tuu lkn hao wote lao ni moja.

unafaa kuwa FBI wewe maana utagundua mengi, upeo wako wa kutafakari ni mzuri.
 
wasalaam wanaJF?

Nimekuwa mfatiliaji sana wa siasa za hapa nyumbani kwa mda mrefu,ila sijawahi shuhudia mh mwigulu akimkosea adabu mh zitto kabwe kama anavyofanya kwa katibu mkuu dr slaa,hawa watu vyeo vyao viko sawa ndani ya vyama vyao,zitto kabwe ni naibu katibu mkuu wa chadema na mh mwigulu nae ni naibu katibu mkuu wa ccm.

Katika mda tofauti watu hawa wamekuwa wakialikwa kwenye vipindi vya Tv kwa pamoja ila kuna mda mmoja nashindwe kutokea<mara nyingi watangazaji husingizi foleni,kuwa mgeni wetu kashindwa kuja sababu ya foleni,mfano,kuna siku star tv waliwaalika naibu katibu mkuu wa cuf mtatiro,naibu katibu mkuu wa chadema zitto,na naibu katibu mkuu wa ccm mwigulu ila mh zitto kabwe hakutokea na siku hyo mwigulu aliutangazia umma kuwa anao mkanda unaonyesha viongozi wa juu wa cdm wakupinga mauaji:

Nimekuwa nikiwaangalia hawa watu kwa jicho la3 mda mrefu sana,mh mwigulu kajikita sana kumshambulia dr slaa,vile vile mh zitto kabwe nae kajikita sana kwa waziri mkuu mh pinda mpk ilifikia hatu ya kukusanya sahihi za kutokuwa na imani na waziri mkuu,na sasa kaja na swala la mshahara wake,nikirudi upande wa mwigulu imefikia hatua mpk kaajiri vijana ambao wanatumia Id zaidi ya 4 kwa mtu mmoja ili kumdhalilisha dr slaa na mara chache mh mbowe,kuna mambo mengi sana hayako sawa na ukiyafatilia utagundua nachoongelea hapa,kwani kuna mambo mengi sana mabaya ambayo mh mwigulu kaifanyia cdm mpaka sasa lakini kamwe hutamsikia zito kayakemea pia upande wa zito kuna vitu vingi sana kaviibua kuhusiana viongozi wa ccm mfano fedha za uswiz and so on ila hutamsikia mwigulu kamsema zito kwa lolote kama alivyozoea kuwasema slaa na mbowe:

Swali la msingi: watu hawa kuna makubaliano yoyote waliyoyafanya ili kutunziana heshima? sina nia ya kuwachonganisha zitto na mwigulu bali wao ni public figures na matendo yao yanafatiliwa kwa ukaribu mkubwa na watu mbali mbali nje na ndani ya nchi yetu.

Ombi: tusijadili maisha yao binafsi bali kazi zao na harakati zao ndani ya vyama vyao

na JKT walienda wote, si ajabu Mwigulu ni 'lile zao linalolimwa sana bonde la usangu'...huwezi kumpenda mwanamume mwenzio kiasi kile.
 
Zitto yuko makini sana tofauti na mwigulu anayependa sifa za kijinga!!!!!!!!! Kila kukicha anawaiwazia chadema badala ya matatizo ya watanzania.
 
Mkuu nakusifu kwa uzi wako huu unaoonyesha unachambua mambo kwa makini. Kwa kifupi ni kwamba watu walio chini ya BOSS mmoja kwa nia moja huwa hawagombani hata kama wanatoka vyama tofauti. Mwigulu ni hazina ya mkuu wa kaya na Zitto ni rafiki mkubwa wa mkuu wa kaya, hapo unategemea nini?. Wawili hawa kuwa nyama tofauti mwingine kuwa upinzani na mwingine kuwa ccm hayo ni kupotezea tuu lkn hao wote lao ni moja.

unafaa kuwa FBI wewe maana utagundua mengi, upeo wako wa kutafakari ni mzuri.

Wewe umekuja vizuri walau umeielewa mada yangu kidogo, ni ukweli usiopingika kuwa zitto ni rafiki mkubwa wa jk na kuna kipindi nilikuwa sudan hawa watu niliwaona pamoja na mbunge mwingine wa chama kingine, wakiwa wameambatana na jk, na mwigulu nae ni kipenz cha jk na hicho cheo cha unaibu katiba mkuu alipewa na jk kupitia halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi kule dodoma na yote ni baada ya mwigulu kuiponda hoja ya upinzani iliyowasilishwa na naibu katibu wa chama cha maendeleo na democrasia.

Kwa andiko lako hapo juu umenifanya nizame chimbo tena ili niunganishe dots, lakini all in all siri kubwa wanaijua wahusika
 
Hilo ndio tatizo la watanzania hatujikiti kwenye hoja tunaongea bla bla tu. Ukichokieleza mkuu kina hoja ngoja nichangie kwa upande wangu.
utendaji wa kazi ZITTO yuko juu zaidi ya Nchemba na si nchemba tu bali viongozi wengi ndani ya CCM na CHADEMA na vyama vingine pia, ila taizo la ZITTO lipo kwenye self interest mfano: akifanya siasa za bato na CCM hawezi kupata nafasi za kuwa mwenyekiti wa kamati zinazotakiwa kuongozwa na wapinzani kwani wapiga kura wengi ni wabunge wa CCM, kumbuka zito kujitoa kwenda bungeni siku ambayo wabunge wa CDM walipotoka bungeni JK akihutubia bunge na kusema yeye binafsi anamheshimu JK hawezi kufanya kitendo hicho, kutangaza kugombea urais wakati wenzake wapo kwenye kampeni Arumeru mash, mtazamo wangu zito anajiandalia mazingira ya kuhamia chama chochote hata CCM anachokishtumu leo
 
mfano,kuna siku star tv
waliwaalika naibu katibu mkuu wa
cuf mtatiro,naibu katibu mkuu wa
chadema zitto,na naibu katibu mkuu
wa ccm mwigulu ila mh zitto kabwe
hakutokea na siku hyo mwigulu
aliutangazia umma kuwa anao
mkanda unaonyesha viongozi wa
juu wa cdm wakupinga mauaji:

mkuu nakumbuka ilikua. mwezi wa 12. zito alikuwepo na kama sikosei kati ya tar 27-30. Zitto na Mchemba walikua studio za star tv ndipo Mwigulu ktk mazungumzo akasema" nina mkanda unaonesha viongozi wa chadema wanapanga mikakati ya (mauaji) ugaidi" Zitto alimind akasema "tusifanye mza hatari kama unaushahidi kwa nini ucpeleke kwenye vyombo vya sheria"? kipindi kilikuwa kinaongozwa na YAHYA MOHAMED

ILA Jk akiwa Kigoma mwaka 2010. aliwapandisha jukwaani Zitto na D. Kafulila na akawaambia wana kigomo asingependa Urais amuachie mtu mzee kama yeye Jk

connect the... hapo ktk kauli ya Jk
 
Hilo ndio tatizo la watanzania hatujikiti kwenye hoja tunaongea bla bla tu. Ukichokieleza mkuu kina hoja ngoja nichangie kwa upande wangu.
utendaji wa kazi ZITTO yuko juu zaidi ya Nchemba na si nchemba tu bali viongozi wengi ndani ya CCM na CHADEMA na vyama vingine pia, ila taizo la ZITTO lipo kwenye self interest mfano: akifanya siasa za bato na CCM hawezi kupata nafasi za kuwa mwenyekiti wa kamati zinazotakiwa kuongozwa na wapinzani kwani wapiga kura wengi ni wabunge wa CCM, kumbuka zito kujitoa kwenda bungeni siku ambayo wabunge wa CDM walipotoka bungeni JK akihutubia bunge na kusema yeye binafsi anamheshimu JK hawezi kufanya kitendo hicho, kutangaza kugombea urais wakati wenzake wapo kwenye kampeni Arumeru mash, mtazamo wangu zito anajiandalia mazingira ya kuhamia chama chochote hata CCM anachokishtumu leo

Mkuu u-ccm na u-cdm ndo unaotuharibu wachangiaji wengi, zamani wachangia wengi hasa wa cdm walikuwa wanawatukana sana wanaccm na sasa kibao kimegeuka baada ya usajili wa buku7fc, wao kila hoja sasa ni matusi tu, unakuta hoja ina mlengo wa kukuza fikra na kuupa ubongo chakula ila wao hawaelewi lolote ni full kejeli, nways nicje jikuta natoka sana kwenye hoja yako.

Umenigusa kwenye swala la zitto kupigiwa kura na wabunge wengi wa ccm katika kamati za bunge, nikijiuliza maswali nakosa majibu ya haraka, labda ni mapenzi tu ya wanaccm wengi kwa zito ama hana madhara kabisa kwao ndo maana wanampenda kama sisi wanachama wenzake tunavyompenda japo baadhi hawamwamini kabisa ila mie binafsi I do trust him:

Na kama zitto atapewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha cdm naamini kabisa wanaccm wengi watampigia kura za kutosha na yote hyo ni sababu siku akiwa rais wa nchi hii viongozi wote wa ccm watalala usingizi wa pono na wala hawatakuwa na ndoto za kupelekwa mahakama ya kimataifa.

Siasa za zito ni soft politics(lugha isiyo rasimi) ambazo hazina madhara kwa wapinzani wake bali zinamadhara kwa wanasiasa wenzake ndani ya chama chake.

Na siasa za mwigulu ni hardcore politics(lugha isiyo rasimi) ambazo zina madhara ndani ya chama chake na kwa upinzani zaidi, ana siasa za tupate sisi wao wakose au tukose wote.
 
Ukiona unashambuliwa na Timu ya Lumumba ujue wewe ndiye unayefaa kuongoza harakati za kweli za kuwang'oa.

Kamwe CCM wasitarajie CHADEMA kita-loose focus.

Adui wa CCM ni rafiki yetu na tutasimama nae hadi tone la mwisho tukiendelea kuimarisha misingi ya kitaasisi itakayozalisha maadui wengi zaidi wa CCM na mfumo wa kidhalimu

Dogo Siasa na kupishana mawazo sio Uwadui wala chuki,hata kauli zenu zinakera,utasikia "lazima damu imwagike!!!"bongo yetu wote.
 
akiwa anahojiwa na salama katika kipindi cha mikas mh:mwingulu alinukuliwa akisema katika siasa za Tanzania anamkubali sana zito kabwe
hamis kigwangala naye anavutiwa na siasa za zitto kabwe kwanini wana ccm wengi wanampenda sana zito kabwe ni anafanya siasa za kistaarabu sana au ni rafiki yao?
 
Kama anamkubali sana mbona hakutumia wadhifa wake ndani ya MACCM kuwashawishi MACCM wenzake wampe kadi ya uanachama na hivyo kumkaribisha rasmi CCM? Au kumkubali kwake ni kuwa ndani ya CHADEMA ili kuendeleza usaliti kwa manufaa ya MACCM? Wanafiki utawajua tu huwa hawajifichi.
 
Back
Top Bottom