Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,550
Ukiona hivyo jua wanahifadhiana siri zao za mitaani, siku mmoja akimuumbua mwenzie tutasikia mengi.
Al Shabaab na Red brigade ni baba mkubwa na mdogo kwa kifupi wamelelewa nyumba mojakama ilivyo Al-Shabab bora kuliko CCM
Sijui ni wapi nilikosema "watu wanaamini" kuwa CHADEMA kita-loose focus?
Utambue uwepo wa Zitto ndani ya chadema kama kiongozi wakoMwenyekiti wa ndiye aliyezindua kanda zote na kufanya mikutano
Mikutano ya M4C pia imefanyika ndani ya Mikoa ya kanda ya Magharibi.Acha upotoshaji
kwani siku mwigulu anaichanachana bajeti ya upinzani bungeni wewe ulikua wapi?soma uzi wangu mpk mwisho then rudi tena hapa,maana tunaongelea watu wawili,dr slaa kapita humu kama mfano but our topic ni mwigulu na zitto,tusaidiane kujijenga kifkra ili tutoke hapa tulipo
Utambue uwepo wa Zitto ndani ya chadema kama kiongozi wako
Ukiona hivyo jua wanahifadhiana siri zao za mitaani, siku mmoja akimuumbua mwenzie tutasikia mengi.
wanakugombania nini?
Umesema mwenyewe watu wanadhani CHADEMA kita-loose focus, sasa sijui kwa nini unajishuku hivyo? manake mleta mada hii anajaribu kuonesha kuwa ZITTO ni rafiki wa CCM na kwa maana hiyo unajipa maumaini kuwa hata akiondoka hamuwezi ku-loose focus.

Hahahahahaha!!!!! Mimi ni mtafiti tu!!!
Mwenyekiti wa ndiye aliyezindua kanda zote na kufanya mikutano
Mikutano ya M4C pia imefanyika ndani ya Mikoa ya kanda ya Magharibi.Acha upotoshaji
We akili zako za kichina, Dr Slaa alipoenda kufanya mkutano wa katiba kiomboi, dodoma,mbeya songea mtwara, lindi nako ni kaskazini??? Mbowe alipoenda mwanza, kakola, isaka, shinyanga,bukoba, musoma n.k kote hhuko ni kaskazini??? Hoja yenu hio ilishashindwa lia naona nyie ni wafa maji tu.
Ninukuu kwa usahihi nilichosema.Please,Usinilishe maneno.Rejea post yangu
zito na mwigulu wote ni wanasiasa wa hoja siyo porojo wewe unataka wakosoane hata kama hakuna sababu we vipi.
ondoa akili yako kwenye mifuko ya slaa na mbowe, kisha rudi tulumbane. nya.mbafu wewe