Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Wewe umekuja tanzania na mbio zipi?
Utarudishwa ulikotoka kwa kilio, tafadhali jifunze kiswahili na utumie lugha hii adhimu humu jukwaani. karibu sana

Êtes-vous un congolais, rwandais ou jamais vécu en France? Vous effrayer l'enfer hors de moi, vous man.But traduit contrairement à ce que je voulais dire, vous induit en erreur peopl.o
 
Jakaya mrisho khalifan kikwete , julias kambarage Nyerere. ( JMKK). (JKN) sasa JK KWA KIKWETE IMEPATIKANA WAP? Tukubali kufanywa malofa mpaka mwisho wa maisha sion sababu ya kumpenda asie kumpenda kwa ugumu huu wa maisha mlipuko wa bei bado Nile kiapo cha utiifu ebwana ngum sana
 
We jamaa una akili!! Jana nilisema Tanzania tuna JK mmoja tu!!
Julius Kambarage(JK)
Jakaya Mrisho(JM) sasa u Jk wa baba rizone unatoka wapi?? Mmm wadanganyika sisi balaa!!!
 
Unajua kuna mjinga na -------- sasa sisi tulio wengi ni wapumbavu hata tupate elimu ya kufuta ujinga hatuwez kuelimika , mm namuomba mungu anipe maisha maref tuu
 
Tres bien monsieur, mais combient de Tanzanians ont compris ces vous venez d'annonce?
 
Kutuachia JK was Mkapa's worst mistake. Naona anapunguza maumivu kwa kukaa mbali naye.
 
Ndugu wanajamii hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa letu, kuna swala limekuwa likinitatiza sana kuhusu viongozi wetu hawa wa kitaifa yaani raisi Kikwete na raisi mstaafu Mkapa imekuwa ni nadra sana kumuona mkapa anauzulia sherehe za kiserikali au hafla zingine tu ambazo Jk amekuwa mgeni rasmi, mfano juzi wakati wa ufunguzi wa bunge maalumu la katiba niliona viongozi karibu wote ila Mkapa hakutokea, tatizo ni nini wadau? mwenye ufahamu juu ya hili atujuze wakuu.

Mkapa ni mchafu hawezi kuonekana hadharani,hii nchi aliitafuna sana akijiita Mr Clean.
 
Mkapa est craignant d'être lié à Kikwete failures.He est sans aucun doute le meilleur président de ce pays ait jamais eu.

Il est vraiment parmi les meilleures président jamais à prononcer notre pays, mais pas le meilleur jamais ..
 
Aliogopa Jk anaweza kukumbuka mambo ya Kiwira akamuunganisha kwenye kesi ya Yona.
 
Ndugu wanajamii hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa letu, kuna swala limekuwa likinitatiza sana kuhusu viongozi wetu hawa wa kitaifa yaani raisi Kikwete na raisi mstaafu Mkapa imekuwa ni nadra sana kumuona mkapa anauzulia sherehe za kiserikali au hafla zingine tu ambazo Jk amekuwa mgeni rasmi, mfano juzi wakati wa ufunguzi wa bunge maalumu la katiba niliona viongozi karibu wote ila Mkapa hakutokea, tatizo ni nini wadau? mwenye ufahamu juu ya hili atujuze wakuu.

.... ukiona mtu anakimbia kivuli chake mwenyewe hapo ujue iko mambo. JMK na BWM ni Presidents. Umuhimu wa sifa za URAIS hauishii pale Rais anavyoachia madaraka. Hupaswa aendelee nazo, ndo maana BWM is referred to as President Mkapa. Ukiona Rais mzima anakimbia majukumu yake hutakosea ukiwaza huyu hakufaa tangu enzi zake!
Nje ya mada hii BWM ni chanzo cha yaliyomo na yajayo. Time will tell
 
Kikwete will go down in history as the President who fanned religious hatred and fanatism amongst the citizenry of Tanzania!! Corrupt to the core too!!!
 
Tatizo letu wa Tz tunapenda kufuata mikumbo...kwa mtu makini na anayependa kufuatilia kwa nini Tz ni masikini hawezi kumfagilia Mkapa...hata mimi zamani nilikwa mmoja wa wanaomsifia Mkapa...

Kikwete na mkapa ni mahasimu tangu mwaka 1995 pale mkapa alipokuwa mgombea Urais wakati kikwete ndiye alishinda kura za maoni, pamoja na hayo wakati mkapa anaondoka madarakani alikusudia kumuacha waziri mkuu wake ili maslahi yake yasivurugike,hivyo akawa anampigia debe Sumaye kwa kushirikiana na makada maarufu kama aki na mzee Steven Mashushanga alie kuwa mkuu wa mkoa wa morogoro.

Pamoja na jitihada za mkapa lkn Jakaya alishinda kwa kishindo kura za maoni mwaka 2005, na alipoingia madarakani. kitu cha kwanza kilikuwa kufuatilia kila uovu aliifanya Rais Mkapa,mfano ni ukamataji wa Fedha ambazo mkapa alificha uswis, inasemekana kuwa ndio yale mabilioni ya kikwete ambayo yalikuwa yanagawiwa kila mkoa.

Pia rais kikwete aliendelea kufuatilia mali za mkapa na kuzitaifisha,mfano ni ile nyumba ya mkapa yenye ghorofa zaidi ya ishirini ambayo ilijengwa Afrika ya kusini,nyumba hiyo hata mandela aligoma kuizindua kutokana na kujengwa na Fedha za ufisadi,

Pamoja na hayo ,watu walioliingiza hasara taifa kwa kushirikiana na Rais kikwete,kwa mfano,Mahalu Mgonja na Mramba,wote waliburuzwa mahakamani,lkn kila waoelekwapo mahakamani,ni mkapa anaeenda mahakamani na kuwa shahidi,rejea kesi ya mahalu.

Kutokana na hayo,mkapa amekuwa akitumia kila jinsi kuihujumu serikali ya rais Kikwete bila mafanikio,
Hivyo ni vigumu saaana kumkuta Rais Benjamin Mkapa akitoa ushirikiano kwa Kikwete.

Kwa misingi hiyo ndio maana Rais kikwete kafanya kila mbinu kuhakikisha Mkapa anaondolewa kamati kuu ili kupunguza nguvu yake ya kupandikiza Rais atakae kuja kulipiza kisasi.
 
Zanzibar wakiwa na katiba yao wewe inakukosesha tonge?

Kuna tatizo kubwa sana!! Wamevunja katiba ya JMT!! hivi kuna kosa kubwa kuliko hili?? Hii ni sawa na jirani mliyepakana kwenye mji wako akaanza kufagia uchafu kwenye uwanja wake na kuweka kwako, lakini wewe ulipoambiwa ukakaa kimya na kumwambia mkeo/mumeo mwache bwanaa kwani wewe kwa kitendo hicho unakosa tonge la kila siku? then baada ya kipindi fulani hilo eneo akapanda maboga na miwa, wewe kimya! Mwishowe kwa kuwa hakukoseshi tonge utashangaa amechukua nusu ya eneo lako kama si na nyumba yako!! Kila siku tunasikia viongozi wakipayuka majukwaani kuhusu utawala bora na wa kuheshimu sheria, kila siku wanaapishwa kulinda katiba ya nchi (wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya n.k) sasa leo wanavunja sheria kuu ya nchi (Katiba) wewe unasema haikuhusu kwani hukosi tonge. Je maisha yako yote yamezungkwa na tonge tuu?? vipi kuhusu huduma bora za elimu, afya, miundombinu, umeme, maji, pembejeo za kilimo (ili uwe na uhakika wa kutolikosa hilo tonge wewe na vizazi vyako!!) na mengineyo?? ambavyo ni haki yako na katiba inatakiwa kuhakikisha unavipata???
 
Huyu hana tofauti na wale wengine wanaodai kwa kuhisi mwingine kapewa au anataka kupewa hata kama hana kazi nacho.
-Kuna wanaodai Ijumaa nao wapumzike kwa vile Jumamosi na Jumapili wanapumzika huu ni upuuzi,
-kuna wanaokataa mahakama ya kadhi kwa vile na wao watadai ya kwao hii siyo hoja
-kuna ambao wanachukia wanaovaa hijabu hata kama wao hawakulazimishwa huu ni upuuzi
-Ndiyo sawa na hawa wanaodai wimbo wa Tanganyika, eti bendera ya Tanganyika wewe itakusaidia nini ni upuuzi mtupu
-Katiba ya Zanzibar wewe inakuuma nini?

Kutokana na uwezo wa Ben kujieleza na kutoa hoja zenye nguvu, mara nyingi huwa amapata mialiko kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kwa mfano alisi ni wakati wa ufunguzi wa bunge la katibu Ben alikuwa majuu,hivyo ni dhahiri asingeweza kuudhuria kikao kile.
 
Huyu hana tofauti na wale wengine wanaodai kwa kuhisi mwingine kapewa au anataka kupewa hata kama hana kazi nacho.
-Kuna wanaodai Ijumaa nao wapumzike kwa vile Jumamosi na Jumapili wanapumzika huu ni upuuzi,
-kuna wanaokataa mahakama ya kadhi kwa vile na wao watadai ya kwao hii siyo hoja
-kuna ambao wanachukia wanaovaa hijabu hata kama wao hawakulazimishwa huu ni upuuzi
-Ndiyo sawa na hawa wanaodai wimbo wa Tanganyika, eti bendera ya Tanganyika wewe itakusaidia nini ni upuuzi mtupu
-Katiba ya Zanzibar wewe inakuuma nini?

Hii inanikumbusha yule mwanafunzi anayeingia chumba cha mtihani na baada ya kuona mtihani umekuwa mgumu kwake, basi anaamua kuchora katuni ili muda uende atoke na wenzake. Jibu hoja kwa hoja siyo kuleta mambo ya udini (mahakama ya kadhi, mara hijabu bla bla blaaa....)
 
aliyekuambia watanzania wanakula barabara nan?alafu tambua kuwa uchumi wa nch haupimwi kwa wing wa barabara ila kwa G.D.P
 
Back
Top Bottom