Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Un certain nombre de Tanzaniens ont réalisé que j'ai ajouté ce? Tu m'as mal monsieur! Ce qui est réel, Il n'y a pas tout semblant ici.

je suis bien d'accord. j'ai mal judge des attitudes tanzannienes.
 
Ni kweli hata mwendawazimu hawezi kuwalinganisha huyo na huyu
- Aliyejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Aliyejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Aliyeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Aliyezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Aliyejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Aliyejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Aliyepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Aliyezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Aliyeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Aliyewaunganishia umeme toka 12% alipochukua madaraka mpaka 21%
- Anayejenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anayejenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyeanzisha hospital ya kisasa ya kinywa
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini


goood,aliestawisha demokrasia nchini.....
 
Jamani wadanganyika ukiangalia ukweli Mkapa na Kikwete hawaivi jiko moja,Mkapa na hakika hakutaka Kikwete awe Rais,basi tu ilibidi,naongea na uhakika wa asilimia zaidi ya 100%,na usalama wa taifa mdelete hili,
 
Jamani wadanganyika ukiangalia ukweli Mkapa na Kikwete hawaivi jiko moja,Mkapa na hakika hakutaka Kikwete awe Rais,basi tu ilibidi,naongea na uhakika wa asilimia zaidi ya 100%,na usalama wa taifa mdelete hili,

Upo Sahihi 100% Na Ukweli Ni Kwamba Che Nkapa Na Watanzania Wachache Tuliokuwa Na Maono GENTAMYCINE Inclusive Tulitaka Sana Senior African Diplomat Salim Ahmed Salim Awe Rais Wetu Isipokuwa Mr. SHIPA a.k.a TEZI DUME Alitumia Pesa Mno Huku Akiikamta Media Karibu Zote..........Mazingira Yalimshinda Che Nkapa!
 
Jamani wadanganyika ukiangalia ukweli Mkapa na Kikwete hawaivi jiko moja,Mkapa na hakika hakutaka Kikwete awe Rais,basi tu ilibidi,naongea na uhakika wa asilimia zaidi ya 100%,na usalama wa taifa mdelete hili,

kama Mkapa hakutaka Kikwete awe rais haya tuambie Kikwete anamtaka nani achukue nafasi yake
 
Tatizo la Mkapa wakati mwaka ule 2005 ni kuwa hakuta Kiwete awe Rais (kwa kujua udhaifu wake) lakini pia Mkapa huyo huyo hakutaka SAS awe Rais vile vile (japo alijua angekuwa Rais bora). Na aliyemtaka yeye Mkapa akawa hauziki. Kwani kama Mkapa angaliamua SAS awe Rais na ampigie debe SAS angalikuwa Rais wa Tanzania leo. Ni ubinafsi wa Mkapa uliompa mwanya JK kuwa Rais. Na Mkapa analijutia hilo japo halisemi barazani. Anaugulia chini kwa chini tu nchi inavyo vurugwa na hana hamu hata chembe.

Na JK kwa kujua udhaifu wa kuwa Mkapa hamtaki SAS pia akapata nafasi ya kujipia debe kwa kununua media. Wakati MkapaMkapa anazindikuka kuwa mgombea wake hauziki ilikuwa too late na ikabidi ajitoe kimasomaso ampigie debe mtu ambaye mhuni na dhaifu ambaye walijua toka mwanzo kuwa akiachwa kwenye siti ya dereva na kukabidhiwa funguo anaweza kuleta maafa makubwa.
Na ndio hayo tunayo yashuhudia leo. Na subirini kwani bado hamjaona ya professa wenu bado mpaka ikifikika Decemba 2015. Maana ni yeye atawaaga watanzania badala ya watanzania kumuaga yeye. Maana atawaacha nchi ikiwa vipande vipande kwa ufisadi huku 'kasma' ya nchi ikiwa nyeupe.
 
Hakuna haja ya kulalamikia hili. Cha muhimu kwa sasa ni kuhakikisha tunampata mtu kama Mkapa 2015.

Mkapa alikuwa na upungufu wake, lakini was best President.

Kosa lake kubwa ni kuruhusu JK awe rais, amekabidhi gari kwa dereva anayejua kbs kuwa anatupeleka kusiko, na sasa anacheka akisema i toild them they did not listen.
 
Back
Top Bottom