Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

kwa ninayomuona Ben ni Mtu Makini sana, hapendi ujinga ujinga ingawa nae ana mapungufu yake kama binadamu, ILA mzee RUKSA hakosagi kwenye hizo Inshu!
 
Azimio la 9:la wananchi
Rais ajipime kama ana uadilifu wa kutosha kukaa Ikulu.

Mkapa himself blew it up na hakuwa na moral authority ya kuwachagulia watanzania kiongozi. He was just so tainted!!

Huyoooo sumaku cjui sumaye ndo hovyooo kabisaaaaaa

mpaka sasa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza wote ndo wale wale km Tezi dume!!! Wote walio jikusanya wana title za uprofesa ila kichwani dalasa la nne

Mkapa alikuwa anamtaka Sumaye!!

Kila mtu ana mazuri na mabaya yake... Hata hivyo JK anayo mazuri yake pia na atakapoingia kiongoz mwingine madarakani tutamkumbuka pia...

Anachotakiwa apunguze yale madhaifu watu wanayoyasema na kuyatendea kaz. Miez michache iliyobakia anaweza angalau akaacha alama.

KATI YA MAMBO AMBAYO WATANZANIA WANGEKUJA KUMKUMBUKA JK INGEKUWA NI KATIBA YA NCHI YETU KAMA ANGALIKUBALI KATIBA WALIYOOMBA WANANCHI IPITISHWE ANGEWEKA ALAMA YA MUHIMU MNO.

Hakuna haja ya kulalamikia hili. Cha muhimu kwa sasa ni kuhakikisha tunampata mtu kama Mkapa 2015.

Mkapa alikuwa na upungufu wake, lakini was best President.

Kosa lake kubwa ni kuruhusu JK awe rais, amekabidhi gari kwa dereva anayejua kbs kuwa anatupeleka kusiko, na sasa anacheka akisema i toild them they did not listen.

Watu wanasema Mkapa alimtaka mtaalam wake wa uchumi, Kigoda. Si mwingine.

who is Mkapa by the way? he is just a fisadi as others. so don't waste your stupid time here. just go and have a kitochi prior to x-mas.

Ben hapendi ujinga ujinga.

Ex president Mkapa si aina ya hao uliowataja Hapo juu.....anajitambua kuliko hao wazee wengine

Hapendi ujinga wakati yeye ndio mjinga namba moja

Ujinga wa Ben uko wapi!! Kakavua ujinga Wa Ben,zen nadadavua ujinga wa Jakaya
Mkapa aliaminiwa na Nyerere lakini what i guess ame-play part kuiweka Tanzania hapa ilipo, for sure hasa kwa ufisad wa kichinichini uliokuwepo ambao tulikuwa hatuujui,tumeujua ufisad wa EPA ambao ulikua chini yake,vipi kuhusu ufisadi wa NBC na mengineyo?
 
Yes mkuu umesema hakuna ufisadi ulofanyika mkubwa na watu kuchota pesa kkma kipindi cha mkapa jamaaa hata ruksa ya kuongea Uhuru wa kuongea aliufinya yeye mwenyewe kachota pesa ana mahotel majumba kufuru ya rahman yan n balaaa sasa LEO hii watanzania tunapata kujua na kutoa maoni yetu why tusishukru leo unambie mkapa MTU makini apendi ujinga watu hawa n wapuuz ameuwa Pemba wananch kwa bunduki sign ilitiwa yeye karume na mahita mkapa n fisi sumaye kachota pesa nying ndomna mkapa almtaka Sumaye waendellze ufisad wao mkapa hana uwezo wa kuipangia nchi rais sawa nyie mavi ya ng'ombe
 
Azimio la 9:la wananchi
Rais ajipime kama ana uadilifu wa kutosha kukaa Ikulu.

Mkapa himself blew it up na hakuwa na moral authority ya kuwachagulia watanzania kiongozi. He was just so tainted!!

Huyoooo sumaku cjui sumaye ndo hovyooo kabisaaaaaa

mpaka sasa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza wote ndo wale wale km Tezi dume!!! Wote walio jikusanya wana title za uprofesa ila kichwani dalasa la nne

Mkapa alikuwa anamtaka Sumaye!!

Kila mtu ana mazuri na mabaya yake... Hata hivyo JK anayo mazuri yake pia na atakapoingia kiongoz mwingine madarakani tutamkumbuka pia...

Anachotakiwa apunguze yale madhaifu watu wanayoyasema na kuyatendea kaz. Miez michache iliyobakia anaweza angalau akaacha alama.

KATI YA MAMBO AMBAYO WATANZANIA WANGEKUJA KUMKUMBUKA JK INGEKUWA NI KATIBA YA NCHI YETU KAMA ANGALIKUBALI KATIBA WALIYOOMBA WANANCHI IPITISHWE ANGEWEKA ALAMA YA MUHIMU MNO.

Hakuna haja ya kulalamikia hili. Cha muhimu kwa sasa ni kuhakikisha tunampata mtu kama Mkapa 2015.

Mkapa alikuwa na upungufu wake, lakini was best President.

Kosa lake kubwa ni kuruhusu JK awe rais, amekabidhi gari kwa dereva anayejua kbs kuwa anatupeleka kusiko, na sasa anacheka akisema i toild them they did not listen.

Watu wanasema Mkapa alimtaka mtaalam wake wa uchumi, Kigoda. Si mwingine.

who is Mkapa by the way? he is just a fisadi as others. so don't waste your stupid time here. just go and have a kitochi prior to x-mas.

Ben hapendi ujinga ujinga.

Ex president Mkapa si aina ya hao uliowataja Hapo juu.....anajitambua kuliko hao wazee wengine

Hapendi ujinga wakati yeye ndio mjinga namba moja

Ujinga wa Ben uko wapi!! Kakavua ujinga Wa Ben,zen nadadavua ujinga wa Jakaya

Yes mkuu umesema hakuna ufisadi ulofanyika mkubwa na watu kuchota pesa kkma kipindi cha mkapa jamaaa hata ruksa ya kuongea Uhuru wa kuongea aliufinya yeye mwenyewe kachota pesa ana mahotel majumba kufuru ya rahman yan n balaaa sasa LEO hii watanzania tunapata kujua na kutoa maoni yetu why tusishukru leo unambie mkapa MTU makini apendi ujinga watu hawa n wapuuz ameuwa Pemba wananch kwa bunduki sign ilitiwa yeye karume na mahita mkapa n fisi sumaye kachota pesa nying ndomna mkapa almtaka Sumaye waendellze ufisad wao mkapa hana uwezo wa kuipangia nchi rais sawa nyie mavi ya ng'ombe
Yaani wanaomsifia Njomba Nkaper me hata siwaelewi kabisa, hawa watu wa ajabu mno,
 
Wamechoka na huuu utawala,usio shaurika wala kutafuta maoni kwa wacc waliopita.
 
Atashirikianaje naye wakati......................

Mwache ajipumzishe BWM
 
Back
Top Bottom