Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Ila huyu jk anavyokula nchi na mwanae na rafiki zake kwa kuwaweka ktk sehemu nyeti na huku wakitafuna pesa za mtanzania na kushindwa kuwawajibisha kila kukicha kwako si ufisadi.kupeana tenda za serikali kila kukicha pasipo ufanisi wa kazi. We unafikiri wanayofanya kina kinaa jk hajui, unga?
Labda uniambie ben alikuwa anakula peke yake huyu mnampenda kwa vl anakula na mashosti

kizuri kula na mwenzio dada..lakini ufisadi wote wa epa, meremeta, richmond ulianzia kwa ben, ata mzee wa vijisent ni kipindi cha ben, hivi ile bank ya ben na mkewe ANBEN iliishia wapi? na ule mgodi wa ben KIWIRA umeishia wapi dada?
 
Hivi tenda ya namba za magari bajaji pikipiki ni za nani vl? Alipataje vl majibu haya anayajua jk haya machache tu jk ni chui mwenye ngozi ya kondoo ni walewale tu
 
Mkapa hawezi akaenda kusikiliza uharo kama ule ile mnamsikilizisha waimba taharabu kama akina Karume Jr, baba yake Hussein and the like. Alafu watu wanapiga makofi mtu anaongea utafikiri anawahutubia U.W.T.
 
duchi naona hii yote mipasho, kila siku watu wanaongezeka, tech inakuwa!!
Most of the things you mantioned ni usanii, unatuaminisha hivyo, but in reality ni tofauti!!
EPA, madawa ya kulevya, ujangili, ufisadi, wizi, no action taken!!
Ni fedha za Watanzania zinaibiwa,
Zilizofichwa Uswiss na kina Chenge mbali, wenyeviti wa kamati mabunge yetu!!
Mmegeuza nchi dangulo la mafisadi??
 
Last edited by a moderator:
Kweli jukwaa limekua hadi wakongo wanachangia hoja! Tumia kiswahili ndg ili nasisi saint kayumba tukufahamu unachosema.
 
Kikwete na mkapa ni mahasimu tangu mwaka 1995 pale mkapa alipokuwa mgombea Urais wakati kikwete ndiye alishinda kura za maoni, pamoja na hayo wakati mkapa anaondoka madarakani alikusudia kumuacha waziri mkuu wake ili maslahi yake yasivurugike,hivyo akawa anampigia debe Sumaye kwa kushirikiana na makada maarufu kama aki na mzee Steven Mashushanga alie kuwa mkuu wa mkoa wa morogoro.

Pamoja na jitihada za mkapa lkn Jakaya alishinda kwa kishindo kura za maoni mwaka 2005, na alipoingia madarakani. kitu cha kwanza kilikuwa kufuatilia kila uovu aliifanya Rais Mkapa,mfano ni ukamataji wa Fedha ambazo mkapa alificha uswis, inasemekana kuwa ndio yale mabilioni ya kikwete ambayo yalikuwa yanagawiwa kila mkoa.

Pia rais kikwete aliendelea kufuatilia mali za mkapa na kuzitaifisha,mfano ni ile nyumba ya mkapa yenye ghorofa zaidi ya ishirini ambayo ilijengwa Afrika ya kusini,nyumba hiyo hata mandela aligoma kuizindua kutokana na kujengwa na Fedha za ufisadi,

Pamoja na hayo ,watu walioliingiza hasara taifa kwa kushirikiana na Rais kikwete,kwa mfano,Mahalu Mgonja na Mramba,wote waliburuzwa mahakamani,lkn kila waoelekwapo mahakamani,ni mkapa anaeenda mahakamani na kuwa shahidi,rejea kesi ya mahalu.

Kutokana na hayo,mkapa amekuwa akitumia kila jinsi kuihujumu serikali ya rais Kikwete bila mafanikio,
Hivyo ni vigumu saaana kumkuta Rais Benjamin Mkapa akitoa ushirikiano kwa Kikwete.

Kwa misingi hiyo ndio maana Rais kikwete kafanya kila mbinu kuhakikisha Mkapa anaondolewa kamati kuu ili kupunguza nguvu yake ya kupandikiza Rais atakae kuja kulipiza kisasi.

In some stretch you have come with a sounding reason.
Nashangaa kuna watu wanadai eti BWM hapendi upuuzi upuuzi that's why haonekani kuwa pamoja na Mh JK, Morally BWM ana audacity ipi ya kukemea tu upuuzi,sembuse kukaa na mpuuzi wakati anadhaniwa na kutuhumiwa kwa scores shady dealings????
 
Ujenz wa miundombinu ni means of development sio maendeleo....ndo maana ukiangalia hyo miundombinu imewanufaisha kund lipi kweny jamii..
Eg mkulima wa mahind anaendlea kunyonywa bei ya mahind hata kama kuna Barabara...ananufaika mlanguzi na mweny fuso....sio hvyo tu unapokuwa na roads lkn unapandsha kodi za oil product....unajua anaumia nan? Wake up wewe uliyelala na kutekwa akil na manyangau ccm
Hebu nenda Rukwa na Ruvuma uone wananchi walivyopiga hatua kwa kilimo cha mahindi kwa sababu ya bei ya mahindi kuwa ya kuridhisha siyo kuoigapiga kelele tu kama kasuku
 
Kweli jukwaa limekua hadi wakongo wanachangia hoja! Tumia kiswahili ndg ili nasisi saint kayumba tukufahamu unachosema.

C'est ce qu'on appelle la liberté d'expression, vous pouvez utiliser n'importe quelle langue que vous voulez tant que vous n'avez pas offenser les gens avec lesquels vous communiquez alors c'est okey.Oh par la façon dont je ne suis pas un congolais, je suis un Tanzanien par birth.Any question?
 
duchi naona hii yote mipasho, kila siku watu wanaongezeka, tech inakuwa!!
Most of the things you mantioned ni usanii, unatuaminisha hivyo, but in reality ni tofauti!!
EPA, madawa ya kulevya, ujangili, ufisadi, wizi, no action taken!!
Ni fedha za Watanzania zinaibiwa,
Zilizofichwa Uswiss na kina Chenge mbali, wenyeviti wa kamati mabunge yetu!!
Mmegeuza nchi dangulo la mafisadi??
Nchi nyingi za kiafrika ziko hivyo. Tanzania ina nafuu sana tena kuna hatua zinachukuliwa
-EPA walifishwa mahakamani na hukumu zimetolewa wewe huko dunia gani
-Ujangili operesheni zimeendeshwa mpaka mkapiga kelele katika makutano wa UK Kikwete alipongezwa kwa hatua alizochukuwa kuna nchi zinaongoza kwa ujangili nchi za Afrika magharibi na nchi za Afrika ya kati dunia inajua wewe sijui uko dunia gani
-Madawa ya kulevya nchi kama S.Africa, Kenya, na Afrika magharibi ndiyo wanaongoza kwa biashara hiyo. Tatizo Tanzania wanaofanya hiyo biashara wengi wana elimu ya chini
-Mwisho namalizia kama pesa zingekuwa zinaibiwa kwa kiasi kikubwa pasingekuwa na maendeleo haya tunayoyaona

Hiyo inayorudiwa kila kukicha kwa kushindwa kusimamia vyema viongozi wanaopewa dhamana kwa kuchakachua pesa za wananchi?
Haya zaidi ya miundo mbinu kafanya nini tena? Ukilinganisha na ya ben
Elimu: mwaka 1961 chuo kikuu kimoja - hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 44 tunaongoza wa idadi katika EAC
- miaka 10 iliyopita tulizidiwa idadi ya vyuo vikuu na Kenya na Uganda
- kabla ya utawala wa Kikwete alikuta idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 40,000
- hivi sasa idadi ya wanafunzi ni 160,000 hii ni mara 4 zaidi
- bajeti ya %24 ya wizara ya elimu ni mikopo kwa wanafunzi hakuna nchi ya EAC iliyotoa kiwango kikubwa cha msaada kwa wananchi wake kama hivi.
- UDOM-Chuo kikuu cha serikali kikubwa zaidi katika EAC kinachukua wanafunzi 40,000 ni idadi ya uwezo wa vyuo vikuu vyote vilivyokuwepo kabla ya serikali ya Kikwete.
- Chuo kuu kikubwa cha sayansi A.Mashariki Nelson Mandela.
- kuna shule za msingi kwenye kila kata.
 
Ha ha ha! Impossible d'augmenter éventuellement sa sécurité nationale ici.

Ha ha ha! Unable to eventually increase its national security here.
papaa uwe na Amani tu,humu twaburudisha nafsi na akili,mersiboko papaa.
mambo ya usalama kumejaa fitna,chuki hamna dili.
 
Hakuna chuki yoyote ndg,BEN alikuwa Apolo India kwani alikuwa anajisikia dalili ya mafua.
 
ahudhurie kama nan wakat kikwete hakuwa chaguo lake bali chaguo kutoka kwa Mungu???????:A S 465:
 
Aliyepandisha
sukari kutoka 400 hadi 2000
unga 200 hadi 1500
mchele 400 hadi 2000
mafuta ya kula lita 600 hadi 3000
nauli daladala 150 hadi 400
kodi chumba 10,000 hadi 60,000
umeme kwa mwez 2,000 hadi 20,000.
sabuni mche 500 hadi 2500
mkaa gunia 3,000 hadi 35,000
Maji Dar dumu 20 hadi 500
Nyama kilo 800 hadi 7,000

Ngoja niishie hapo tuache vitu vikubwa saaana hivi vidogo ndo vinagusa sana maisha ya watu wa aina zote; wasomi, wasiosoma, maskini na tajiri

Ulipo unafikiria kula tu wewe.
 
Elimu: mwaka 1961 chuo kikuu kimoja - hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 44 tunaongoza wa idadi katika EAC
- miaka 10 iliyopita tulizidiwa idadi ya vyuo vikuu na Kenya na Uganda
- kabla ya utawala wa Kikwete alikuta idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 40,000
- hivi sasa idadi ya wanafunzi ni 160,000 hii ni mara 4 zaidi
- bajeti ya %24 ya wizara ya elimu ni mikopo kwa wanafunzi hakuna nchi ya EAC iliyotoa kiwango kikubwa cha msaada kwa wananchi wake kama hivi.
- UDOM-Chuo kikuu cha serikali kikubwa zaidi katika EAC kinachukua wanafunzi 40,000 ni idadi ya uwezo wa vyuo vikuu vyote vilivyokuwepo kabla ya serikali ya Kikwete.
- Chuo kuu kikubwa cha sayansi A.Mashariki Nelson Mandela.
- kuna shule za msingi kwenye kila kata.

Kwani wabongo wanashukrani? Ni watu wa kulialia kila uchao.
 
Back
Top Bottom