mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,228
- 5,902
Kila mtu ana mazuri na mabaya yake... Hata hivyo JK anayo mazuri yake pia na atakapoingia kiongoz mwingine madarakani tutamkumbuka pia...
Anachotakiwa apunguze yale madhaifu watu wanayoyasema na kuyatendea kaz. Miez michache iliyobakia anaweza angalau akaacha alama.
KATI YA MAMBO AMBAYO WATANZANIA WANGEKUJA KUMKUMBUKA JK INGEKUWA NI KATIBA YA NCHI YETU KAMA ANGALIKUBALI KATIBA WALIYOOMBA WANANCHI IPITISHWE ANGEWEKA ALAMA YA MUHIMU MNO.