Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Hata sisi wanaume ni hatari sana, Strategically
Ni kweli pia, mwanaume kwenye manipulation physically yuko njema sana ile emotionally mwanamke yuko stable sana na anaweza ku fake mpaka kilio na kikakubali
 
It's all about survival..
Mwanamke haangalii upendo kutoka kwako tu, kama sisi tunavyo waona.

Mwanamke cha kwanza anachoongea ni uwezekano wa provision, na safety.

Ndo maana sijawahi kuona mwanamke anatamani mwanaume handsome ila kapuku.

Mwanaume unaweza kwenda kijijini ukakutana na pisi kali ukai penda na kuja nayo mjini, ila mwanamke ndo kwanza watasema niipeleke wapi hii Takataka!!

Ukisha jua energy dynamics na namna wanavyoweka kwenye mizani ya una nini cha ku offer tofauti na physical appearance, utaacha kuji sumbua na utaanza kutafuta mali iliyo endana na current position yako kiuchumi na kifikra.

Tena siku hizi, ndo kabisa.. Unaweza kuwa nazo lakini akaja mwingine mwenye dau kubwa kidogo naye akapewa, why? Because mapenzi yamekuwa transactional.. So kupata mwanamke aliye na utulivu na kutokuyumbishwa na hela mtihani sana.

Wanawake ni viumbe vya ajabu sana, unaweza kuwa cared for ndani ya nyumba hachepuki nje, kumbe kuna watu kama wa 3 hivi wameoangiliwa, kuna wa kutoa hela ya mtaji, kuna wa kununua wa bando, kuna wa mafuta ya gari. It's like these chicks think of us in terms of specific bank accounts.

Usiwe mjinga kuruhusu mwanamke mwenye tamaa kwenye maisha yako.
umechelewa sana kama ndo unaanza kuwaelewa
 
Tatizo ni man made perception mnazichukulia literally. Hiyo ndo shida, wazazi wetu hawakuwa accustomed kwa ujinga wa kupeana labels za kijinga
Mkuu haujui kama mababu zetu ndio walioanzisha hiyo mitazamo, na wakaenda mbali zaidi na kuiita nature ilihali ni social constructs tu, gen z na vizazi vijavyo ndio wanajaribu kuzifuta sasa hizo perception
 
Mkuu haujui kama mababu zetu ndio walioanzisha hiyo mitazamo, na wakaenda mbali zaidi na kuiita nature ilihali ni social constructs tu, gen z na vizazi vijavyo ndio wanajaribu kuzifuta sasa hizo perception
Mababu gani hao unaowazungumzia?

Maana hizi dhana zimekuja kuta wala in 20th century if not early 21st century...

Sasa hapa si ndipo Industrialization nilipo shila kasi?

Inshort ni kwamba Gen Z anauliza tu ila hawajui namna ya kuzikwepa ndo maana wanaishia kurudi mle mle tu
 
Back
Top Bottom