King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,938
- 98,030
being broke is a financial condition; being a gold digger is a relationship motive.Is dating broke women supposed to be on that list? Is it broke women or gold diggers?
being broke is a financial condition; being a gold digger is a relationship motive.Is dating broke women supposed to be on that list? Is it broke women or gold diggers?
Ulicho kiongea sio uhalisia bali egoic identification walivyo nayo wengi, sio uhalisia wa lmulimwengu bali uhalisia wa mitazamo ya watu walio wengi, scenario ya kusaidia walemavu haiingiliani hata kidogo na hoja ata hand. Na mwanadamu hawezi Kuwekwa kwenye box kama unavyo dhani.Siyo kujihami mimi nimeongea uhalisia uliopo kwenye ulimwengu wetu, and not necessarily kwamba na mimi nimepitia hayo kwa sababu kesho ukinikuta nawatetea walemavu, utasema na mimi ni mlemavu kwa sababu nimewatetea watu wa aina hiyo
Hapo kwenye kukubali kuchezewa ina maana wanaume na wanawake wasio na mapenzi ya dhati, huwa wanakuwa na alama nyusoni au kitu chochote cha kuwatambua kirahisi, kabla hawajaingia kwenye mahusiano au hii imekaaje
Hiyo definition yako ya unconditional love naona umeamua kuitoa kichwani mwako mwenyewe, ili mradi tu ifit kwenye hoja yako ila kitendo cha kushindwa kuwa na mtu kwa sababu hana vigezo unavyovitaka, that is not unconditional love na wala siyo dhambi kutokuwa na unconditional love
Mtu anaye ona unconditional love ni illusion hajui unconditional love ni niniUnconditional love inafanana na kiapo cha ndoa takatifu. Lakini ukiangalia uhalisia wa mambo hiyo inayoitwa 'unconditional love' haipo katika uhalisia. It is more of an illusion.
Ukisha jua energy dynamics na namna wanavyoweka kwenye mizani ya una nini cha ku offer tofauti na physical appearance, utaacha kuji sumbua na utaanza kutafuta mali iliyo endana na current position yako kiuchumi na kifikra.
Nisiwe mnafki huyu jamaa ni dishi linaloyumba,Ila frequency yake iko poa sana.The Gunner ile safari yako kuwa platinum member inaenda vizuri mdogo wangu kaza.
Mwanamke ni kiumbe kama wewe, Ukisema ufanye awe chombo cha starehe, hiyo starehe mtu itakufanya mbaya sanaHalaf unakuta mwanaume kabisa eti anawachukulia seriousno wonder yanatukuta. Ukiwajua hawa wenzetu (wala sio ubaya) utafahamu kuwa hawa ni waku have fun nao tu then unawaacha unaendelea na mambo yako. Huna sababu ya kugandana nao kabisa kwa lolote. Wala hatakusumbua kichwa
Umechelewa kujifunza vitu vingiMwanamke ni kiumbe kama wewe, Ukisema ufanye awe chombo cha starehe, hiyo starehe mtu itakufanya mbaya sana
Muache mdogo wangu leo dish limetulia.Nisiwe mnafki huyu jamaa ni dishi linaloyumba,Ila frequency yake iko poa sana.
Vyombo hukaa kabati mojaWanawake ni chombo cha starehe.
Ndo maana nikasema inabidi ujue energy dynamics na mwanamke unaye deal naye, ukiwa kichaa lazima yakukute tu.kama anaweza kuwa loyal akakuheshimu wewe kama mume kama mwanzilishi wa familia hata ukisikia neno utapuuza coz ana play role yake vizuri ndani ya familia kama mke!!
Sasa Kuna kina hadija ndala ndefu wakianza kutoka na vidume vya hapo kitaa au Kijiji ulichompeleka kuishi na wewe anakudharau Hadi wewe uliempeleka na kubadili life style na huo ndio ushamba mkuu!!
Kiburi,kukupanda kichwani,kisrani Hadi unajiuliza ukiamua kuzeeka na huyu kisa watoto hai watoto watajifunza Nini cha maana toka kwenye familia Yako zaidi ya uzinduna!!?
Bora uoe au ujaribu tena kuliko kuzeeka na umiza kichwa labspda huko waweza bahatika!!