Ukweli kabisa, insta na maisha ya mitandao yanafanya wanawake kuwa kama bidhaa tu.Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na race mbili tofauti ukiachana na hawa wabongo wenzetu
Hizo races nyingine, ukimtimizia mahitaji ya kawaida ya kiuchumi na yale ya kitandani(Na mnajua kabisa Wabongo tulivyobarikiwa), basi binti lazima aweke Kambi na hatokuwa na makandokando mengine
Kwa hawa wenzetu wa Kibongo, nahisi utulivu umepungua miaka hii kutokana na ukuaji wa teknolojia hasa haya ma-instagrams kutaka kuishi maisha ya akina Mobetto wakati yeye sio Mobetto
Na haya mavikoba yao ndiyo yakawazamisha kabisa
Wanawake watulivu wapo ingawa kwa kiasi kidogo, wao hata umpelekee milioni 2 hakuvulii chupi 🤪
Sijawahi na hakuna humu wa kunipelekea moto anavyojisikia yeye.....We dada bado una maumivu ya ule moto nilio kupelekea (sijui unakumbuka?)
. Mimi huwa siku Ali mtu aniingize chaka ila kwenye ukweli tutaelewana.
Ukitaka kunikera njoo na misemo mipya na matusi advancedSafi... Uhuru ni wako... Japo ile siku nilijua umefura kweli😎
Mimi huwa situkani huwa naongea ukweli Mchungu ambao wengi huwa inawakwaza sana. Nashangaa sana mtu akisema nimetukana mara nyingi watu ndio huwa wananitukana wao kwa kukereka na kuambiwa kile anachotaka kujifichiaUkitaka kunikera njoo na misemo mipya na matusi advanced
Katika kuwajua ndio kuishi nao kwa akili hukoHakuna alie wahi kuwajua hawa viumbe hapa duniani ndio maana maandiko yanasema ishini nao kwa akili. Shida wanaume tunaishi nao kwa hisia za matamanio yetu.
Hakika MkuuUkweli kabisa, insta na maisha ya mitandao yanafanya wanawake kuwa kama bidhaa tu.
They're selling their souls to a one night stand and cash.
Ukimpata mwanamke mwenye kujua worth yake sio pesa, mkuu weka kambi maana umepata kifaa.
Kuhusu wazungu wap, huwa wanafunzwa kabisa from a young age kuwa money ain't a thing, money is for making life easier not better.
Hakika mzee mwenzangu.Hakika Mkuu
Ni vyema kama wazazi tukatia bidii kwenye kuwa kuza vyema kwa maadili hawa mabinti na vijana wetu
Suala la kujitambua ni muhimu sana kwa Dunia ya sasa
Maana shetani yupo busy kuvunja ndoa za watu
Una.... Kisha unaachana nayeIt's all about survival..
Mwanamke haangalii upendo kutoka kwako tu, kama sisi tunavyo waona.
Mwanamke cha kwanza anachoongea ni uwezekano wa provision, na safety.
Ndo maana sijawahi kuona mwanamke anatamani mwanaume handsome ila kapuku.
Mwanaume unaweza kwenda kijijini ukakutana na pisi kali ukai penda na kuja nayo mjini, ila mwanamke ndo kwanza watasema niipeleke wapi hii Takataka!!
Ukisha jua energy dynamics na namna wanavyoweka kwenye mizani ya una nini cha ku offer tofauti na physical appearance, utaacha kuji sumbua na utaanza kutafuta mali iliyo endana na current position yako kiuchumi na kifikra.
Tena siku hizi, ndo kabisa.. Unaweza kuwa nazo lakini akaja mwingine mwenye dau kubwa kidogo naye akapewa, why? Because mapenzi yamekuwa transactional.. So kupata mwanamke aliye na utulivu na kutokuyumbishwa na hela mtihani sana.
Wanawake ni viumbe vya ajabu sana, unaweza kuwa cared for ndani ya nyumba hachepuki nje, kumbe kuna watu kama wa 3 hivi wameoangiliwa, kuna wa kutoa hela ya mtaji, kuna wa kununua wa bando, kuna wa mafuta ya gari. It's like these chicks think of us in terms of specific bank accounts.
Usiwe mjinga kuruhusu mwanamke mwenye tamaa kwenye maisha yako.
Mungu akubariki 🙏🙏Hakika mzee mwenzangu.
An idle mind is the devil's playground
Hakuna tetea anaepandwa na jogoo moja tu, weka hii akilini haitokusumbua sana ubongo wakoNi umasikini na njaa Kali ndiyo maana wanakuwa na vidume wengi
Hakika.Muache mdogo wangu leo dish limetulia.