Ziwe weak tu muhimu ndoo yangu haijakaribia kuisha unga wa kusongea ugali , nikicheki na gesi imejaa full tank, nikichungulia nnje na hivi vimvua mchicha umeota na mgagani wa kutoshaAnother weak mind kwenye moja na mbili. Imani za kishirikina hizo bwashee
Never late is betterBetter late than never
Siyo kujihami mimi nimeongea uhalisia uliopo kwenye ulimwengu wetu, and not necessarily kwamba na mimi nimepitia hayo kwa sababu kesho ukinikuta nawatetea walemavu, utasema na mimi ni mlemavu kwa sababu nimewatetea watu wa aina hiyoHapana nakupa facts maana wewe ndiye uliye kuja kujihami..
Umesema kuwa mnakuwa manipulated na kutupwa pale mwanaume anayo waonja na kuwaacha!! Na wewe nikakuuliza kama ukijua thamani yako kwanini ukubali kuchezewa?
Unconditional love naielewa sana, japo ina limitations kwa watu wasio ufahamu vyema.
Ni kwamba ukiwa na unconditional love, kitendo cha wewe kumkataa mtu, pia ni form ya unconditional love. Nikiwa na maana ya kuwa una jali boundaries zako, wakati ukimtakia mema yule anayetaka kizi cross.
Unconditional love doesn't entail losing yourself to someone else
Sawa na vipi kuhusu majukumu ya nyumbaniMimi naona wote ni malaya tu, malaya ni malaya tu
And You Are?Jadda migazeti katia timu hanaga point ila ni kuandika mambo mengi yasiyo na hoja🤣
Wote wanahusika tuSawa na vipi kuhusu majukumu ya nyumbani
Sio mbaya lakini, muhimu siibi bwasheeHahaha bwashee kila muda yuko high tu
Kundi kubwa la majukum ya nyumbani hamtakiSawa na vipi kuhusu majukumu ya nyumbani
Kama mwanamke anatoka kuenda kutafuta pesa kama wewe hayo majukumu ya nyumbani atafanya saa ngapi na kwa energy ipi, ndio maana huwa mnaambiwa mchague uoe either mwanamke mtafutaji au mama wa nyumbani shida wengi wanataka full package, na wengi wenu siku hizi hao wamama wa nyumbani wanaofanya hayo majukumu hamuwataki mnawaona mizigo mnataka nao watafuteKundi kubwa la majukum ya nyumbani hamtaki
1.kulea hamtaki .baby cure
2.kupika hamtaki ,mfanyakazi wa ndani
Baadhi lakini ni kundi kubwa
Kuna tofauti kubwa kati ya kuangalia mechi huku ukijua matokeo na yule anayeangalia mechi asiyejua chochote kuhusu muelekeo wa matokeo.Kiukweli kabisa somo ambalo nimefeli kwenye maisha yangu ni kumfuatilia mwanamke kiwango ambacho kutaka kujua mienendo yake kama kweli hataki na haitakuwa ila akiamua fanya ufanyavyo itakuwa tu.
Halaf unakuta mwanaume kabisa eti anawachukulia seriousno wonder yanatukuta. Ukiwajua hawa wenzetu (wala sio ubaya) utafahamu kuwa hawa ni waku have fun nao tu then unawaacha unaendelea na mambo yako. Huna sababu ya kugandana nao kabisa kwa lolote. Wala hatakusumbua kichwaWanawake ni chombo cha starehe.
Unconditional love inafanana na kiapo cha ndoa takatifu. Lakini ukiangalia uhalisia wa mambo hiyo inayoitwa 'unconditional love' haipo katika uhalisia. It is more of an illusion.Woow yani wanaume wa jf hambadiliki aise, hii tabia ya kujadili hoja bila kuleta ad hominem attacks kumbe bado mnayo, anyway unajua maana ya unconditional love lakini
Tatizo ni man made perception mnazichukulia literally. Hiyo ndo shida, wazazi wetu hawakuwa accustomed kwa ujinga wa kupeana labels za kijingaMwanamke akitembea na wanaume wengi anaitwa malaya ila mwanaume akitembea na wanawake wengi anaitwa rijali, mwanamke akifanya majukumu ya nyumbani ni mke bora ila mwanaume akifanya majukumu ya nyumbani anaitwa mume bwege, sasa niambie ulichopost kwenye hiyo picha kina tofauti gani na hiki nilichoandika hapa au huelewi dunia inavyojudge mambo baina ya hizi jinsia
Nimeipenda hiiHata mimi huwa nawashangaa wanaume wanaolalamika wanawake kufuata pesa kwa wanaume ilihali wanaume wengi wao nao kuna sifa huwa wanazifuata kwa wanawake na siku hizo sifa zikiisha mwanamke anapigwa chini, kwenye hii dunia hakuna unconditional love kwenye mahusiano kila jinsia inaingia kwa maslahi yake binafsi na hayo maslahi yakikosekana unaachwa, it is what it is sasa msitake ionekane kama wakifanya wanaume it's okay ila wakifanya wanawake basi ni mashetani kiuhalisia jinsia zote ni victims kwenye hilo katika namna tofautitofauti msitazame kwenye muktadha wa pesa tu